MARIAM'S SINGO PARTY!!!

YES NI SINGO YA MWARI WAKE ASHURA SAPI, MASHAALAH HONGERA ASHURA UMEWEZA, SINGO ILIPENDEZESHWA NA KIBAO KATA SARE NI KIJORA TOKA UK, PAMBE YA SOMO WADADA WA MUJINI PENDEZA SANA, DECOR BY HARUSINZURI, UNCLE K ALIWALISHA WAAALIKWA CHAKULA KITAMU SANA, WAZAZI SHAMTE'S WAMTUNZA MKWE WAO SOMO ASHURA BALAAA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 SOMO NA MWARI
 SOMO NA PAMBE 
 MAMA NA MWANA
ZAWADI ZA SOMO KWA MWARI WAKE MASHAALAH ASHURA UMWEZA SANA
 MC
 KIBAO KATA WAKITOA BURUDANI
MWARI AKITOLEWA NJE....
 SOMO NA PAMBE YAKE....
 MARIAM AKIFICHULIWA...
 MAMA AKIMFICHUA BINTI YAKE
SOMO AJIONGEA
NDUNDU YA MWARI IKITOLEWA
 WAZAZI WAKIMTUNZA ASHURA
 WAZAZI SHAMTE'S WAKIMTUNZA SOMO ASHURA KWA FUJO BALAA MWAGA PESA HATARI
  SOMO ASHURA AKIKABIDHI ZAWADI
MAMA AISHA SHAMTE KAFURAI SANA....
ASHURA AKIPONGEZWA
WAZAZI WAKIMSHANGILIA ASHURA MKWE WAO...
 MRS NDAMA & FAMILY WAKIMTUNZA ASHURA, SANDUKU LA UKWEE'E
 MAMA AISHA SHAMTE AKIMTUNZA SOMO KWA KAZI NZURI SANA MASHAALAH!!!!!
ASHURA AKISHUKURU....
MISHY AKIMTUNZA ASHURA
CHAKULA BY UNCLE KASSIM CATERRER 
NYUSO
RAHMA & FRIEND
SHAMIM MY FELLOW BLOOGER & FRIENDS
DOLLA & MISHY SHOSTITOS
MONICA....
ROSE & MARIAM
ZAHRA, REHEMA, MOZA & ASHURA'S MAMA
NANA & FRIEND 
VIGEMO & FRIEND
ROSE, SAMIRA & FREINDS
NURU SEPETU & FRIENDS
HALIMA & AISHA MAKAME
SHAMTEZ...
PENNY & HALIMA KIMWANA
RAHMA OWNER OF RAHMATALL FABRICS
REHEMA, MOZA & HELLEN BFF
HALIMA KAMUSI & FRIEND
 RAHMA & MARIAM
PENDEZA SANA SHOSTI WANGU NURU SEPETU
MIE, NURU SEPETU & SALMA BI HARUSI WANGU
 MIE NA SHOGA YANGU.....ASHURA USITUONEE WIVU 

Post a Comment

2 Comments

  1. nzuri sherehe wame save pesa kufanyia nyumbani kwake

    ReplyDelete
  2. hongera sana somo umetisha hasaaa kuliko masomo wote wa humu wizi mtupu. hongera Mariam umepata somo

    ReplyDelete