SAID & ZUHURA AQDI!!!!

Groom                                   :: Said
Bride                                      :: Zuhura Melia
Event                                     :: Muslim Aqdi
Venue                                    :: Tabata
Caterer                                  :: MK Caterer
Makeup-by                            :: Mariam - +255 717 399 191
Color                                     :: Green & White
Photographed by                :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI LEO NDIO TWAMALIZIA ILE SHUGHULI NDEFU YA ZUHURA, HILI NDIO JAMBO LA KHERI TUKILISIBIRI KWA MUDA MASHAALAH ZUHURA UMEPENDEZA SANA MAKEUP MY NEW MAKEUP ARTIST IN TOWN MARIAM,  UMEPENDEZA SANA MUMEO KILA LA HERI KWENYE MAISHA MAPYA

MAULID
BWANA HARUSI AKIINGIA
 SAID AKIMPA MKONO MKEWE

MAHARUSI NA WAZAZI
 CHAKULA

 BWANA SAID AKILA SORO....
 MAHARUSI WAKITOKA NJE....
 CHAMPAGNE...
BI HARUSI NA NGUO YA PILI
 ZUHURA AKIPEWA MKONO WA KWAHERI NA FAMILIA, MAMA MZAZI AKIMUAGA
 MAMA MDOGO MARIAM
 BABA AKIMUAGA ZUHURA
NYUSO
BEST FRIEND FOREVER
 MAMA NA MWANA
SISTERZ
 WAZAZI NA BINTI YAO
ZUHURA NA BIBI
Post a Comment

3 Comments

  1. mashaallah nguo ya pili imekupendeza sana allah na mtume pamoja na malaika wema aibariki ndoa yenu mzikane

    ReplyDelete
  2. mashallah kapendeza lakini maharusi wa kiislamu baada ya akdi wanakunywa maziwa na sio champen. tujitahidi kufanya mambo yalokuwa kwenye dini yetu. inshallah Allah awape maisha mema na kizazi chema katika ndoa yao

    ReplyDelete