SAMIHA'S MUSTARD YELLOW & ROYAL BLUE BRIDAL SHOWER!!!!

Bride                                      :: Samiha Mhina
Event                                     :: Bridal Shower
Venue                                    :: Msasani Tower
Caterer                                  :: Mariam Twahir
Makeupby                             :: Glambox
Dressedby                             :: Evecollections
Décor                                     :: Haika Decor
Color                                      :: Mustard Yellow & Royal Blue
Photographed by                  :: Mashughulimedia - +255655426100
YES SAMIHA'S BRIDAL SHOWER, MASHAALAH PENDEZA SANA, KUANZIA NGUO IMEFIT MAHALI PAKE HONGERA EVECOLLECTIONS KWA KAZI NZURI, PERFECT MAKEUP & HAIRSTYLE BY GLAMBOX, RANGI ZA SHUGHULI NILIPENDA SANA ROYAL BLUE & MUSTARD YELLOW, SAMIHA KAVISHWA MADINI SI MCHEZO, ISHA MASHAUZI AINGIA UKUMBINI KWA TASHTITI KIBAO, KWA UJUMLA SHUGHULI NI PAMBE SANA HONGERA NURU MHINA & REHEMA KAYUGWA NA MWENYEKITI MOZA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

SO SWEET....
SAMIHA NA AUNTY REHEMA & NURU
TOKA GLAMBOX MAKEUP NZURI SANA....
 DECOR...////
ZAWADI
CAKE YA BINTI MREMBO...
MC SIMBA UMETISHAJE KWA KAZI NZURI...HONGERA
WAKIINGIA
FAMILIA ILIANZA KUINGIA, AKIINGIA NURU AUNTY MLEZI
KISHA AKAIINGIA AUNT REHEMA BOSSLADYUN
BOSSLADYUN REHEMA KAYUGWA DRESSED BY EVECOLLECTIONS
SAMIHA AKIINGIA MASHAALAH!!!!!
 DUA.....
 KAMATI YA BRIDAL SHOWER....IKIONGOZWA NA CHAIRWOMAN MOZA...UMETISHA
KAMATO PAMBE SANA
MWENYEKITI MOZA AKIKARIBISHA WAGENI...
INTRO......
INTRO...
DRESSEDBY MAMA ZINDO AFRICAN DESIGN WANAPATIKANA DAR FREE MARKET SHOP NO. 17 & 18
CAKE
 CHAMPAGNE
SADAKA MTAALAM MSHAURI AKIONGEA NA SAMIHA
SAMIHA AKIPATA BURDANI TOKA KWA WADOGO ZAKE...
SAMIHA AKIIMBIWA NA MDOGO WAKE....SO LOVELY
CHAKULA
 SAMIHA AKIPEWA ZAWADI
SAMIHA AKIINGIA NA AUNT NA NGUO YA PILI PENDEZA SANA MASHAALAH
SAMIHA AKIPEWA ZAWADI
NURU AUNTY MLEZI AKIMPA ZAWADI BINTI YAKE....
REHEMA AKIMPA ZAWADI SAMIHA, UMEONA SET HIYO.....UKO JUUU
SALHA AKIVISHWA SET YA DHAHABU TOKA KWA AUNT KIPENZI REHEMA KAYUGWA BOSSLADYUN
MSASAMBUAJI UMETISHA....
AUNTY TOKA UK AKIKABIDHI ZAWADI
SAMIHA AKIPOKEA ZAWADI
AUNTY ZAKE SAMIHA WAKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
AUNTY AKE SAMIHA TOKA UK AKIMKABIDHI ZAWADI
BEST FRIENDS WANADIPLOMATS WAKIMTUNZA SAMIHA MADINI
YES WAKIMVISHA MADINI BANGILI 4 SI MCHEZO
ASHURA AKIMTUNZA SAMIHA MADINI....HAPANA CHEZEYA
RAFIKI ZAKE SAMIHA WAKIMPA ZAWADI
SAMIHA AKIWATUNZA AUNTY ZAKE
AUNTY NURU AKITUNZWA
AUNTY AKE SAMIHA MLEZI AKIFUTWA JASHO
BOSSLADYUN REHEMA AKIWASHUKURU MWENYEKITI MOZA NA WENGINE KWA KUWA PAMOJA MWANZO MWISHO
REHEMA NA BINTI YAKE SALHA AKITOA ZAWADI
REHEMA AKIONGEA...BOSSLADYUN
ZAWADI ZA UKWEE'E VICTORIA SECRET
MWENYEKITI MOZA AKISHUKURU......
REHEMA AKIFUTWA JASHO
WAFANYAKAZI WA ATC ZAMANI WAKIMTUNZA MWENZAO REHEMA
MIRIAM JOGGY AKIMTUNZA REHEMA
MAMA LUKUVVI AKITUNZA
REHEMA KATUNZWAJE....
MIE HUYO NIKIMKOSHA SHOSTI...
ISHA AKIMUINGIZA JASMINE KUMTUNZA REHEMA PAMBE SANA
JASMINE AKIMTUNZA REHEMA
MSHANGAO HUU KWELI ISHA UNA SAUTI
NYUSO
MAMA MLEZI.....
MAMA NA MWANA
 BESTIES...
PENDEZA
 REHEMA & MOZA BEST FRIENDS
WEDDING SELFIE
BEST FRIEND
ATC FORMER
 
WEDDING SELFIE
 SAMIHA & AUNT ZAKE
SALHA & SAMIHA
DRESSED BY MAMA ZINDO AFRICAN DESIGN
PACHAZ KULWA & DOTTO WAKIWA NA SAMIHA
NIKIWA NA BEST ZANGU
BYE BYE BABY GIRLPost a Comment

5 Comments

 1. Asante mashughuli blog nimefurahi kuwaona aunt zangu wa ATC enzi hizo miaka ya 90 walikuwa wako hot ile mbaya nafurahi kuwaona wanazeeka na uzuri wao.

  ReplyDelete
 2. Mashallah kwakweli kila kitu kimekwenda vizuri, wamependeza wahusika.

  ReplyDelete
 3. kwa mtizamo wangu bridal shower alipendeza zaidi kuliko kwny send off, i wish that nguo ya hot pink ndo angevaa knyw send off yake.

  Anyway ni mtizamo tuu.

  ReplyDelete