SAUMU'S KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Saumu
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Makumbusho Hall
Makeup                                 :: Maznut Bridal
Color                                      :: Brown, Blue & Orange
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
SAUMU'S KITCHEN PARTY MASHAALAH PENDEZA SANA BEAUTIFUL MAKEUP TOKA KWA MAZNUT BRIDAL SARE YA SHUGHULI IMENOGA SANA SIMPLE BUT BEST ZAMA NDANI KUONA ZAIDI
DECOR....////
 ZAWADI
CAKE
MC - MAGONGO JAMANI NAOMBA TUMUUNGE MKONO MAMA MAGONGO ANAWEZA 
  KWA AMBAYE ANATAKA MAWASILIANO NAYE NIONE MIMI MASHUGHULIBLOG
DADA AKE BI HARUSI HATIBAH
WAZAZI WAKIINGIA
 SAUMU AKIINGIA
 SOMO ZAKE WAKIMPOKEA
 SOMO MKUU HAPPY BAGHDELA AKIMPOKEA MWARI
 DUA....
KATTY CLLECTIONS
HATIBAH DADA YAKE BI HARUSI AKIKARIBISHA WAGENI
 SAUMU AKITAMBULISHA FAMILIA
MAMA MZAA CHEMA
DADA HATIBAH
 FICHUA MWARI
SOMO..
  CHAMPAGNE
MAZNUT BRIDAL OWNER
WAZAZI WAKIGONGA GLASS
SAUMU AKIAPATA NASAHA ZA NDOA
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
WAZAZI WAKITUNZWA
SOMO NA PAMBE YAKE WAKIFUTWA JASHO
HATIBAH AKIFUTWA JASHO
MC JAMILA AKIMTUNZA HATIBAH
MC MAGONGO AKIMTUNZA HATIBAH
LILYKHADIJA
SAUMU AKIPEWA ZAWADI
SOMO HAPPY NA PAMBE YAKE WAKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
MWARI NA SOMO
HATIBAH AKIONGEA NA MDOGO WAKE
NYUSO
MC JAMILA MASHAALAH... KATIKA UBORA WAKE
MAZNUT & FRIENDS
MAMA MZAA CHEMA
 SAUMU & HATIBAH
 MWARI NA MASOMO
 MAMA NA MWANA
 BYE BYE SAUMU INSHAALAH HERI....

Post a Comment

0 Comments