USIKU WA ZAWADI WA ZUHURA!!!

Bride                                      :: Zuhura Mellia
Event                                     :: Usiku wa Zawadi
Venue                                    :: Pugu
Makeup                                 :: Glammbox
Caterrer                                :: MK Catering +255 784 953 030
Color                                     :: Red & Peach
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 23rd July 2016
USIKU WA ZAWADI WA ZUHURA, HAPA ANAKABIDHIWA ZAWADI ZAKE TU, HII NI SHUGHULI YA KWANZA YA ZUHURA....PAMBE KWA SANA

DECOR...////
 ZAWADI...////
 MC ANNA NAKUAMINIA MIAKA 100
ZUHURA AKIINGIA
 DUA...
 MARIAM MAMA YA MK CATERING, MAMA MWENYE NYUMBA AKITUKARIBISHA
ZUHURA AKIFICHULIWA
NIKIMFICHUA MWARI WANGU
MAMA MZAZI AKITAMBULISHA...
BABY FATHIYA....
 CHAMPAGNE
MC ANNA AKIWA KWENYE SECTION YAKE
USIKU WA NYAMA CHOMA..
BURUDANI
BIBI NA FILIMBI
ZUHURA AKIKABIZIWA ZAWADI ZAKE
 MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI
ASANTE MAMA KIPENZI
SHANGAZIA WAKIKABIDHI KABATI LA VYOMBO
MAMA MDOGO MARIAM MAMA YA MK NA WANA KIKUNDI WAKIKABIDHI SET YA SITTING SET SOFA SET, ZULIA NA COFFEE TABLE
KISHA AKAKABIDHI KABATI LANGUO
ASANTE MAMA MDOGO
MC ANNA AKIONGEA NA ZUHURA
MAMA NESHI AKIMPA BINTI AKE MANENO KUNTU
 BIBI WAKITUNZA ZAWADI KWA MJUKUU
ZUHURA NA BIBI ZAKE
DADA WAKITUNZA ZULIA
DA DULLA AKIMTUNZA NIGHT DRESS ZUHURA YA UCHOKOZI ZUHURA
MC ANNA AKIKOSHWA NA JIRANI
KAKA ZAKE ZUHURA WAKIMTUNZA NA SHOW YA UKWEE'E
WANA KIKUNDI WAKIMTUNZA MARIAM
DA DULLA AKIONGEA...
MARIAM AKITUNZWA
NYUSO
ODO ANNA & MARIAM
MAMA NA MWANA
PENDEZA SANA
BIBI AKE ZUHURA
ZUHURA NA MAMA ZAKE
ODO MARIAM NA BINTI AKE
MWARI NA SOMO.....
SHANGAZI HAO PAMBE SANA
MIE & MWANAIDI
ZUHURA NA MAMA ZAKE...
WANA KIKUNDI HAO....
MY FRIEND
MAMA WADOGO & ZUHURA
 MIE & ANNA MC WA UKWEE'E
MIE & MARIAM

Post a Comment

2 Comments

  1. Dada Hellen (Mashughuli) nywele zako zimependeza. Umefanyaje?

    ReplyDelete
  2. Mama mashughuli (Helleni) so cute mwaah umetisha pendeza sana mashallah na mwari wako mbona hujatualika tukawa pamoja dada

    ReplyDelete