ZUHURA'S KITCHEN PARTY!!!!!

Bride                                      :: Zuhura Mellia
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Hellenic Club
Cake                                      :: Grace Cake
Makeup                                 :: Glammbox
Caterrer                                :: MK Catering +255 784 953 030
Entertainment                      :: Raha Original Live Taarab Band 
Color                                    :: White & Light Blue
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
Yes ni ile kitchen party ya mwari wangu Zuhura tukiingia shughuli yake ya pili baada ya usiku wa zawadi, Pendeza sana mashaalah beautiful makeup toka Glambox Salon, mwari kapendeza san asana zama ndani kuona picha zaidi…

ZUHURA NA MAMA MZAZI, TICHA MBAGGA
 ZUHURA NA ODO AKE... MAMA YA MK
 ODO MARIAM
ZUHURA NA MAMA ZAKE
 ZUHURA AKIWA GLAMBOX......
DECOR...///
 SOUVENIRS 
 MC - JAMILA KITIMTIM
WAGENI WAKIINGIA
MAMA MZAZI TICHA MBAGGA AKIINGIA
 MREMBO WETU ZUHURA AKIINGIA
 
 MAMA MZAZI AKIMPOKEA BINTI YAKE
MAIDS WAKE WAKIMPOKEA
 DUA..
 KAMATI YA SHUGHULI
 MWENYEKITI MAMA YA MK GROUP OF COMPANY
 ODO ANNA NA MAMA NESHI.... 
 MWENYEKITI WA KAMATI 
 MWARI AKIFICHULIWA
MDOGO WANGU SHUMU AKIWA PEMBENI NAKUPENDA SANA
 NIKIMFICHUA MWARI WANGU
 NURU MWENE MASHAALAH...
ODO HUYOOO
 SALMA AKIMFICHUA MWARI
 NAATA AKIMFUCHUA ZUHURA
 SOMO NA PAMBE YANGU....
 SHUMU AKINIKABIDHI KAPU LA FICHUO, THANKS MY SHUMU...
 ZUHURA AKITOA INTRO KWA STYLE YAKE
CAKE
CHAMPAGNE
 ODO ANNA AKIBARIKI CHAMPAGNE
 NAATA KATIKA UBORA WAKE
 ODO ANNA MC, SHE IS ALSO PROFESSIONAL 
 WIFIS HAO
 ZUHURA'S BEST FRIEND....
CHAKULA BY MK CATERER WANASEMA HAKUNA KUGOMBANIA NYAMA....NI ZA KUTOSHA WAPE KAZI TU
BURUDANI
USTAADHI NDANI YA NYUMBA
ZAWADI KWA ZUHURA
TICHA MBAGGA AKITUNZWA NA WADOGO ZAKE
MAMA WAKITUNZWA NA WATOTO
 ZUHURA AKIMTUNZA MAMA MADINI MWARI UKO JUU
BIBI WAKITOA ZAWADI
SOMO AKITUNZA SANDUKU LA MWARI
YES NAMUONA DADA YANGU FATMA SIMBA THANKS
YES BAHIYA MIAKA 100, DA SHARIFA HASHIM NAKUPENDA
MSASAMBUAJI WANGU WA KIMATAIFA HIDAYA UKUMUHITAJI KUSASMBUA SANDUKU PIGA NAMBA HIZI 0719 153 405
NIKIWATUNZA WAZAZI VITENGE...ILIKUWA NDOGO TU KWANGU
ZUHURA AKIMVISHA MADINI MAMA MDOGO

MARIAM AKITUNZWA NA WARI WAKE
MARIAM NA WARI WAKE
YES NI KIKUNDI CHA UKWEE'E WAKIONGOZWA NA NAATA WANA WA CLEARING BANDARI WANAOCHEZA PESA WAKIMTUNZA MARIAM
WIFI WAKIMPA ZAWADI ZUHURA
MAMA SALMA WIFI YAKE MARIAM WAKIMPA ZAWADI ZUHURA
 MWARI WANGU AKINIFUTA JASHO ASANTE MY BABY GIRL
 ZUHURA AKIWATUNZA BIBI ZAKE 
 DA DULLA AKIWAFUTA JASHO ODO MARIAM NA MAMA
 DA DULLA UMENOGAJE SASA
 KAPU LA MAMA
NYUSO
 ASANTE SANA DADA YANGU SHARIFFA KWA SUPPORT
 MKURUGENZI WA GRACE'S CAKE & FRIEND
 MIE NA DESIGNER WANGU PENDA SANA WEWE
 SOPHIA KIHAGO & MWARI WANGU THANKS DEAR FOR SUPPORT
 MIE NA SHANGAZI AKE BI HARUSI
 MWANAIDI & FREINDS
 MIE NA SOPHIA & PACHANGA LOVE YOU SO MUCH
 THANK YOU DOGO LANGU FATMAH FOR YOUR SUPPORT
 MARIAM & FATMAH
 THANK YOU DADA ZANGU FATMA & NURU FOR YOUR SUPPORT
 BAHIYA PENDA VEVE SANA
SOPHIA NA TEKETEKE DRESS FROM MAMA ZINDO AFRICAN DESIGN & TAILORING DAR FREE MARKET SHOP NO. 17
 MAKEUP & LEMBA BY GLAMBOX
 NAMUOMBA ALLAH ATUWEKE MIAKA 100 INSHAALAH

WAZAZI WA BI HARUSI NA MIE THANK YOU FOR TRUSTING ME...

 MIE NA MWARI WANGU

WITH MY BEST FRIEND EVER NO ONE LIKE YOU. ALLAH BARIK
BYE MY BEAUTIFUL MWARI........
Post a Comment

0 Comments