ZUHURA'S PRE-WEDDING PARTY!!!

Bride                                      :: Zuhura Mellia
Event                                     :: Pre-wedding Party
Venue                                    :: Cardinal Rugambwa
Cake                                      :: Garce Cake
Makeup                                 :: Glammbox
Color                                     :: Mixed Colours
Caterer                                  :: Mk Caterer
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
NI SIKU YA TATU (3) BADO TUNAENDELEA NA SHEREHE ZA HARUSI YA ZUHURA (MWARIWANGU) MASHAALAH KILA SHUGHULI INAMZIDI MWENZIO ANAVYOPENDEZA  LEO NI SENDOFF YA ZUHURA PENDEZA SANA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

DECOR....//
 MC - CHIPOLOPOLO
ZUHURA AKIINGIA NA WAPAMBE WAKE....
 MALKIA AKIINGIA BAADA YA VURUGU ZA WAPAMBE YAKE
 FASTA FASTA WEDDINGSELFIE
 DUA...
 KAMATI IKIJONGEA
 MWENYEKITI WA KAMATI...
 ANNA & ZENA PACHA...
 MC CHIPOLOPOLO AKIMSUPRISE TICHA MBAGA...
 ZAWADI TOKA KWA MC MAHIRI, MSOMI...
ZUHURA AKITOA UTAMBULISHO
BABA NA MAMA
MAMA MKWE....
CAKE
 CHAMPAGNE
MC ANNA
ZUHURA AKIMSAKA MCHUMBA WAKE..
ZUHURA AKIMVISHA MCHUMBA SAA ILI WAENDE NA MUDA, MUDA NDIO KILA KITU
ZUHURA AKIMKARISHA BWANA SAIDI DINNER
ZAWADI NA HONGERA KWA ZUHURA
BABA NA MAMA MELIA WAKIONGEA NA ZUHURA
 WAJASIRIAMALI TULITOA HUDUMA NDANI YA PRE WEDDING YA ZUHURA, GRACE CAKE, MK CATERER, MC CHIPOLOPOLO
 MAMA ZUHURA AKITUNZWA NA WADOGO ZAKE
 ODO AKITUNZWA
WIFIS NA SANDUKU
 NYUSO
WAZAZI WA ZUHURA
 ZENA NA HUBBY
 LE BRO MSAFIRI


 WAZAZI

 MARIAM NA WAZAZI WA BI HARUSI

 MSAFIRI NA DADA YAKE SOPHIA

 MAMA NA MWANA

 LILIKHADIJA & GRACE


 MAMA MZAA CHEMA HONGERA SANAPost a Comment

3 Comments

 1. Ukweli Zuhura alipendeza sana, kuanzia kitchen party hadi sendoff party. Nimependa simple make, nguo na accessories.

  ReplyDelete
  Replies
  1. yaaani kapendeza mapouda yametulia ,,,,,na yeye mwenyewe fully happy kila picha utatamani umtizame tu ....alhamdullih allah ampe maisha mazuri katika ndoa yake

   Delete
 2. alhamdullilah imeisha salama....asante somo wangu kwa pic nzuri nzuri....u kill it.

  ReplyDelete