CECY'S RED & PEACH NIGHT!!!

Bride                                      :: Cecy Katembo
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Golden Jubilee Towe
Décor                                    :: Dessert Decor
Makeup                                 :: GNG Bridal Salon
Caterer                                  :: From Danken Caterer
Color                                     :: Red & Peach
Cake                                      :: Monica Makundi
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                       :: 10 Sept 2016
YES NI CECY KATEMBO'S NIGHT PENDEZA SANA BINTI AKE HIDAYA ASPRO, PERFECT MAKEUP & HAIRSTYLE BY GNG SALON, NGUO YAKO NZURI, DECOR YA UKUMBI NI YULE YULE DESERTDECOR HAKOSEI, SHEREHE YA KUKATA NA SHOKA NAPENDA KUWASHUKURA MR. KATEMBO & HIDAYA ASPRO KWA SUPPORT YAO KWANGU, HII NI HARUSI YA TATU (3) NIMEFANYA NAO KAZI ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

DECOR.....///
 CAKE
MC CHIPOLOPOLO KAZI NZURI SANA....NAKUKUBALI SIKU ZOTE
WAKWE WAKIINGIA
MAIDS WAKISAFISHA NJIA
BINTI KATEMBO AKIINGIA
SALA....
KAMATI ILIYOANDAA SHEREHE, NIMEPENDA WACHACHE SHEREHE YA UKWEE'E
MWENYEKITI WA KAMATI CHILIKO AKIWAKARIBISHA WAGENI
CECY AKIKATA CAKE
CECY AKITAMBULISHA FAMILIA
BABA
MAMA
MAMA
WAKWE INTRO...
 MAMA MZAA CHEMA HIDAYA AKIPONGEZWA
HIDAYA ASPRO MAMA YA MUJINI NA SHOSTI WAKE
KWAITO YA CECY
CECY AKIPATA NASAHA TOKA KWA BABA MKUBWA
WATOTO WA MR. KATEMBO
CECY AKIWATAMBULISHA DADA YAKE LINDA NA KAKA ZAKE
KATEMBO'S
FAMILIA YA KATEMBO
CHAMPAGNE
SWEET MOTHER & DAUGHTER
MAMA NA UZAO WAKE HONGERA SANA
WIFI YANGU MIE MRS. MOSHA PENDEZA SANA
CECY WITH DAD & MUM
CHEERS
MC CHIPOLOPOLO AKIMRUHUSU CECY KUTULETEA MCHUMBA WAKE
THANK YOU MY WIFE TO BE
CECY AKIMPA ZAWADI MUME WAKE MTARAJIWA CYPRIAN "BIBLE"
CECY & CYPRIAN WAKIENDA KWA CHAKULA CHA JIONI
NI BINTI YAKE LINDA AKIMPA ZAWADI ODO WAKE KWA KUIMBA MASHAALAH...
FAMILIA IKIMPONGEZA CECY
CECY AKIMKABIDHI ZAWADI BABA MZAZI MR. KATEMBO
THANK YOU MY DAUGHTER
MR. KATEMBO NA ZAWADI YA BABA...
MAMA NA MWANA WAKIPEWA HONGERA
SOMO SITTU MWASU AKIMPONGEZA MWARI
WAFANYAKAZI WENZAKE CECY...
HONGERA BINTI YETU
MAMA AKIMTUNZA MR, KATEMBO KWA SHUGHULI PEVU

 NYUSO
MH. DIWANI MARIAM MTEMVU & DOTTO OMARY
MWAHIJA MAMA YA LACE LACE ZA UKWEE'E FOLLOW ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM KWA LACE  "the queen of fabrics"
MIRIAM JOGGY & FRIEND
CECY BROTHERZ
FASH FASHION OWNER & FRIEND
SOMO SITTU AKIWA & HUBBY & PACHA FATMA MSOMALI
HIDAYA ASPRO & SHOSTI
MRS. KATEMBO & SISTER
 SHUU & LINDA
SAFINA UMENOGA
BABA NA MAMA CECY
LINDA NA BINTI ZAKE HONGERA DOGO LANGU LA UKWEE'E
SISTERZ FOREVER MASHAALAH
 HIDAYA ASPRO MAMA MZAZI WA CECY
MR. KATEMBO BABA MZAZI WA CECY
SAFINA & FRIENDS
ROSE CUTE GIRL MASHAALAH
RUKIA OTHMAN MAMA YA TANESCO
SHIKAMOO BINTI KWA SELFIE...
 CECY AKIWA NA BABA NA MAMA...
MIRIAM JOGGY MAMA YA LACE ZA UKWEE'E FOLLOW INSTA PAGE YAKE "MIRIAMJOGGY"
WAKWE
WAKWE
LINDA ALL THE WAY FROM SWEEDEN & BROTHERZ
 MH. DIWANI MARIAM MTEMVU
ODO NA SHISTITOS
MAMA ZAKE CECY BEAUTIFUL, FASHION WOMEN....
YAP KINYWAJI CHA KUMWAGA KWA MR. KATEMBO
 SELFIEZ NAKUONA ROSE 
ASHA & MAHARUSI
WAZAZI PENDEZA SANA
HIDAYA ASPRO & FRIENDS
WEDDING SELFIEZ
 ASHA NASSOR, MIRIAM JOGGY & MAHARUSI
JOKHA KABITOKA & KHADIJA KUSI
LINDA & HUBBY
BYE BYE CECY KATEMBO


Post a Comment

2 Comments

  1. Hej Ross Alipendeza sana'bibi arusi alivo mzuri akawe mzuri pia kwa mumewe tunaomba picha full ya rose kwenye kitchern party Asante!Tunataka mshono

    ReplyDelete
  2. Cecy kapendeza sana kila ka kheri rose umetokelezea

    ReplyDelete