FATUMA'S KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Fatma
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Elegance Hall
Makeup                                 :: Raphia Bridal Salon
Color                                     :: Red & Orange
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 28th August 2016
MASHAALAH PENDEZA SANA NDANI YA SHUGHULI YAKO PAMBE SANA, HAPANA CHEZEYA WA MUJINI UMETISHA KUANZIA JUU MPAKA CHINI, KATUNZWAJE BI HARUSI....MASANDUKU MATATU BONYEZA KUONA ZAIDI....

BEAUTIFUL 
SISTERZ
 SISTERZ
DECOR.....///
 CAKE
 ZAWADI
 MC MUU MALKIA WA NGUVU...NAPENDA SANA KAZI YAKO
MAMA AKIINGIA UKUMBINI
 FATMA AKIINGIA
 FATMA AKIFICHULIWA....
DUA....
KAMATI YA WATOTO WA MUJINI
KAMATI YA UKWEEE'E
MAMA KWANZA....
 INTRO......
MAMA NA MWANA
FATUMA AKIPATA NASAHA...
KWAITO YA FATUMA
MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI KWA BINTI YAKE
 DADA AKISASAMBUA MASANDUKU MATATU UMEONA EEEH!!!
 FATUMA AKITUNZA
DADA YAKE BI HARUSI AKIFUTWA JASHO
DADA YAKE FATMA AKITUNZWA
BEST FRIEND FOREVER 
SHOSTITOS WAKITUNZANA
DADA AKIMTUNZA SOMO
BI HARUSI AKIWATUNZA DADA ZAKE WALIOSHIRIKIANA NAYE KWENYE SHUGHULI YAKE
 CHAKULA
NYUSO
 PENDEZA SANA
PENDEZA SANA
 WATU WENYE MAJINA YAO
 SELFIEZ ZA WAREMBO
 WEDDING SELFIE


Post a Comment

2 Comments

  1. hongera dada fatma umependeza shughuli tamuu balaa kila la kheri kny maisha mapya ya ndoa
    Rabia,Nuru mlifunika si kwa kupendeza huko

    BINTI MBINGA

    ReplyDelete
  2. pendeza, Masha allah dada aliyevaa papo na white, she is so cute, mungu akulinde na husda. Amin

    ReplyDelete