JAFFARI & YASMIN AQDI!!!!

 WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA BAADA YA NDOA KUGUNGWA YASMIN & JAFFAR HONGERENI SANA MWENYEZI AWALINDE NA NDOA YENU, NAPENDA KUWAPONGEZA WANAFAMILIA KWA MPANGILIO MNZURI WA NDOA I LOVE IT.... TULIANZA MBAGALA KONGOWE NA KUOA NI KINYEREZI.....

MASHAALAH.....
BWANA HARUSI NA MSHENGA...
SAFARI YA NDOA YA JAFFARI & YASMIN ILIANZIA MBAGALA KONGOWE NYUMBANI KWA OMARY KITIMAI...
 BWANA JAFFARI AKIWA KWENYE MATAYARISHO....
 HII NI MPYA KWANGU LAKINI NIMEIPENDA SANA, HUYU KIJANA NI DESIGNER WA KANZU NA PIA ANAFUNGA HEGAL KWA WANAUME 
UMEONA HEGAL ZILIVYOPENDEZA...
MR. PHOTOGRAPHER ANAPENDAJE PICHA....PENDEZA SANA LEO MWANANGU
BABA NA MAMA KITIMAI WENYE NYUMBA, ASANTE KWA UPOKEZI MNZURI..
JAFFARI AKIWA NA SHEMEJI YAKE OMARY KITIMAI NA DADA YAKE.... WALEZI WAKE
UNADEKAJE SASA SI KWA MADADA HAO
 SARE PAMBE SANA
WEDDINGSELFIE NA DADA MLEZI
BLOOD SISTERZ FOREVER
JAFFARI NA DADA ZAKE MASHAALAH!!!
KABLA YA KWENDA KUOA TUKALA BIRIAN....
 NAKUONA KANALI KWENYE SECTION YAKO...
 DUA KABLA YA KUONDOKA
 TUKIINGIA KINYEREZI KUOA NA BEN BATI LETU...
 MAULID YA NDOA YAKISOMWA
 SHEIKH NA MSHENGA WAKIPATA IDHINI YA BI HARUSI
 BWANA HARUSI JAFFARI KIROHO.....
ALMAS....
NDOA IKIFUNGWA....
BWANA HARUSI AKIPONGEZWA
MSHINDO....
 NAKUONA SALUKA PENDEZA SANA HONGERA BINTI YETU KWA KUMLEA BWANA
 OMARY KITIMAI, RAHIM,HAFIDH KOCHA & SALUKA
 MIE NA WADOGO ZANGU, ZUHURA, DALILA, TANISA MWAIBULA....
BWANA HARUSI AKIMPA MKONO MKEWE YASMIN
 YASMIN AKISAINI CHETI CHA NDOA
 PORTABLE ANABEBEKA KABISA, TUKIONDOKA N MKE WETU KUELEKA MBAGALA, SAMBAMBA NA TEAM TANDANDAMTI KARIAKOO
 SHANGWE NA MKE WETU
MAHARUSI WAKIKABIZIWA VYETI NA SHEIKH
HAPPY NEW COUPLE....
 MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI
OMARY KITIMAI AKIWA NA MKEWE NA WATOTO WAO
YASMIN NA SOMO WAKE
WANA WA KARIAKOO, DALILA, AMANA, WIFI YANGU MKE WA HAMIS

Post a Comment

1 Comments

  1. MASHAALLAH MAHARUSI. KWA MARA YA KWANZA NAONA VYETI VYA NDOA VYA SERIKALI.MUWE MNATUPAGA HIVYO JAMANI MASHEKHE MANA MAKAZINI VYETI VILE VYA KIJANI HAWAVITAMBUI

    ReplyDelete