JUMA & SWAUMU'S NIGHT!!!

Groom                                   :: Juma
Bride                                     :: Swaumu
Event                                     :: Wedding Ceremony
Venue                                    :: Boko Shamte’s Residence
Color                                     :: Yellow, Blue & Orange
Wedding Planners               :: SamRose Events - +25568688897/683903872
Photographed by                :: Mashughulimedia - +255655426100
YEAH!!! NI USIKU WA MAHARUSI JUMA & SWAUMU MASHAALAH PENDEZA SANA, NIMEPENDA SANA MAKEUP YA SWAUMU ON POINT, NGUO YAKE IMEMKAA VINZURI, NI KULE KULE NJE MJI KWENYE HALI YA HEWA NZURI  BOKO.... SAMROSEEVENTS NDIO WAANDAJI WA TAFRIJA YA SWAUMU &  JUMA'S NIGHT HONGERA SANA SANA KWA KAZI NZURI, INGIA NDANI KUONA ZAIDI...

DECOR....///
 CAKE
 MC-MWENYE SAUTI TULIVU...
WAZAZI WAKIINGIA
 MAHARUSI WAKIINGIA
 DUA....
INTRO....
KWANZA BWANA HARUSI ALIANZA KUMTAMBULISHA MKE WAKE BI SWAUMU
BI SWAUMU AKITAMBULISHA FAMILIA
SWAUMU AKIMTAMBULISHA MUME WAKE MPENZI BWANA JUMA
MASHAALAH MASHAALAH BWANA HARUSI AKIMPA MKE WAKE ZAWADI YA MASAAF QUR'ANI TAKATIFU, MSWALA & TASBIH
 JUMA & SWAUMU WAKIKATA CAKE
 CHAMPAGNE
 CHAKULA
 JUMA & SWAUMU WAKIFUNGUA MZIKI
DIRECTORS OF SAMROSEEVENTS EVENTS PLANNERS SAMEERA & ROSE...
 FAMILIA YA SHAMTE IKIWAPONGEZA MAHARUSI
JOKHA SHAMTE
MAMA AKIWAPONGEZA 
MH. MWANTUM...
MWAMVUA SHAMTE AKIONGEA KWA NIABA YA FAMILIA
MAMA AKITUNZWA NA WADOGO ZAKE SHAMTE'S SISTERZ
NYUSO
SELFIEZ....
BIBI MASHAALAH
MOTHER DARLING AKE ASHURA SAPI & NYANTUNGA
MR & MRS MADABIDA
WARDA MASHAALAH!!!
MAMA NA WATOTO WAKE....
WEDDING SELFIE...
 AISHA SHAMTE PENDEZA SANA MY SISTER
JUMA & SWAUMU WAKITOA SHUKRAN
 BYE BYE....ALL THE BEST IN YOUR NEW LIFE OF MARRIAGE


Post a Comment

1 Comments

  1. Mashaallah bi harusi nguo yake nzuriiii halafu iko tofautii ,yeye mwenyewe mrembo sana..makeup on point👌

    ReplyDelete