KEVIN & NATALIE'S WEDDING RECEPTION!!!!

Groom                                   :: Kevin
Bride                                      :: Natalie
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Makumbusho Grounds
Makeup                                 :: Laviemakeup
Color                                     :: Peach, Blue & Maroon  
Photographed by                :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 10 September 2016
NEW AMAZING COUPLE IN TOWN KEVIN & NATALIE, CONGRATULATIONS NI FURAHA YETU KUFANYA KAZI NA NYIE, BAADA YA NDOA TAKATIFU KUFUNGWA KANISA AZANIA FRONT ILIFUATIWA NA SHEREHE KATIKA VIWANJA VYA MAKUMBUSHO, BI HARUSI NATALIE KAPENDEZA SANA, SHE IS SIMPLE BUT EXPENSIVE MAKEUP NZURI TOKA KWA KAVIEMAKEUP, VERY NICE GOWN PENDEZA SANA SANA.....
BI HARUSI AKIWA LAVIE MAKEUP
 KEVIN & NATALY WAKIINGA AZANIA FRONT CHURCH
DECOR.....///
CAKE
 MC
WAKWE WAKIINGIA
 KELVIN & NATALY WAKIINGIA
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARIBISHA WAGENI
 SALA....
MAIDS WAKITOA SHOW NZURI SANA KWA MAHARUSI
MC AKITOA UTAMBULISHO WA PANDE ZOTE ZA FAMILIA
HI NI MPYA KWANGU
 WAKWE INTRO....
  CHAMPAGNE
MAHARUSI WAKIFUNGUA CHAMPAGNE PAMOJA....
 CAKE
KEVIN & NATALY WAKILISHANA CAKE
KEVIN & NATALIE WAKIPONGEZWA PAMOJA NA WAZAZI
BABA NA MAMA WAKIKABIDHI ZAWADI YA KIWANJA...
 LILKHADIJA NAKUONA VILE PENDEZA SANA 
 FAMILIA YA BI HARUSI NATALIE WAKIKABIDHI ZAWADI
BABA NA MAMA WAKITUNZWA
WAZAZI WAKITUNZWA
 WAFANYAKAZI WENZAKE KEVIN TOKA STANBIC BANK WAKIWAPONGEZA
WAWAKILISHI TOKA STANBIC BANK
MUWAKILISHI TOKA STANBIC BANK
YAP KEVIN ALIPEWA JAZZ NO 9 NA WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIMKARIBISHA KWENYE CLUB YA WANANDOA
NATALIE AKITUNZWA....
 KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI FEDHA TASLIM 3M
 BABA NA MAMA 
 BABA MZAZI AKIONGEA
 HUYU ALIKUWA FLOWER GIRL KWENYE HARUSI YA WAZAZI WA KEVIN
 CHAKULA
NYUSO
NATALIE NA MKWEWE
BABA NA MAMA KEVIN

Post a Comment

0 Comments