KISSA'S KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Kisa Lebby Mwakilasa
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Mwika Hall
Makeup                                 :: Laviemakeup
Color                                     :: Mustard Yellow & Pink
Dressedby                            :: Chille Store
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 18 Sept 2016
YAP NI KITCHEN PARTY KISSA NIMEPENDA SANA NGUO NZURI DRESSED BY CHILLE STORE MAKEUP ON POINT, SHUGHULI NZURI ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

DECOR....///
 MC
ZAWADI
KISA AKIINGIA UKUMBINI
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
SALA YA KUFUNGUA SHUGHULI
MWENYEKITI WA KAMATI
KAMATI IKIJONGEA....
KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI KWA KISA
MAMA AKIFURAHI NA KISA
CHAMPAGNE 
INTRODUCTION
MAMA AKITAMBULISHA MARAFIKI
EVANGELIST MAMA TUPILUKE AKIWAFAHAMISHA WATOT WAKE WA KIROHO
NI FURAHA SANA EVANGALIST MAMA TIPILUKE
MAMA NA MWANA...
BEAUTIFUL BRIDE TO BE
CAKE
KISA AKIKATA CAKE....
UNCONDITIONALLY LOVE
MK'S GROUP OF COMPANIES NAWAONA SANA
MARIAM PENDEZA SANA
WATOTO WA KIPARE EEEH!!!
SELFIE IMETOKAJE.....
KISA AKIPATA NASAHA ZA DINI TOKA KWA MAMA MCHUNGAJI
MAOMBI SPECIAL KWA KISA NA WANA MAOMBI....
ZAWADI
MAMA AKIKABIDHI ZAWADI
NI FURAHA TU SI KILIO
MAMA AKIKABIDHI ZAWADI
EVANGELIST MAMA TIPULIKE AKIKABIDHI ZAWADI KWA BINTI YAKE MPENZI
ALIANZA KUKABIDHI SANDUKU
SISTER FROM ZAMBIA AKIKABIDHI SUFURIA NZURI TOKA ZAMBIA
HAYA YOTE NI MAPENZI YA KWELI KWAKO HUSIUZUNIKE
MKURUGENZI WA CHILE STORE ALIYEMVISHA KISA, NICE TO MEET YOU
MAMA AKITUNZWA
MAMA KWA FURAHA NA KIBWEBWE
EVANGELIST MAMA TIPULIKE AKITUNZWA
WANA WA KIROHO WA EVANGELIST MAMA TIPULIKE 
HISIA YA GOSPEL SONG "NI MBALI TUMETOKA....
NAWAONA WATU WANGU MAMA NESHA, JOJINA, NEEMA...KWA MAMA YENU WA KIROHO
WATOTO WA KIROHO WA EVANGELIST MAMA TIPULIKE 
CHAKULA
NYUSO
DADAZ FOREVER.....
KISA ALITOLEWA HIVI NJE....

Post a Comment

0 Comments