KISSA'S SENDOFF PARTY!!!

Bride                                      :: Kisa Lebby Mwakilasa
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Primerose Hall
Makeup                                 :: Laviemakeup
Color                                     :: Mustard Yellow & Light Blue
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 21 Sept 2016
YES NI ILE SENDOFFF YA BINTI MREMBO KABISA, BINTI YAKE EVANGELIST MAMA TIPULIKE KISSA LEBBY MWAKILASA NA HAPA PIA KAPENDEZA SANA CONGRATS LAVIEMAKEUP, RANGI ZA NGUO YAKE NZURI, NIMEPENDA ZAWADI ZA KISA KWA MCHUMBA WAKE "UNIQUE" ZAMA NDANI KUONA ZAIDI...

FROM LAVIEMAKEUP
 DECOR PRIMEROSE HALL
CAKE
MC CHITANDA AKIFANYA KAZI YAKE KWA MBWEMBWE ZAIDI
WAKWE WAKIINGIA
MAIDS WAKIMSAFISHIA NJIA MALKIA WAO KISA
BEAUTIFUL BRIDE TO BE KISA AKIINGIA UKUMBINI PRIMEROSE
SALA
EVANGELIST MAMA TIPULIKE AKISALI SALA YA UFUNGUZI WA SHEREHE YA BINTI YAKE...
KAMATI
KISA AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA
CHAMPAGNE
 KISA AKIKATA CAKE
INTRO UPANDE WA WAKWE
KWAITO YA KISA
KISA AKIMSAKA MCHUMBA
 THANK YOU DARLING.....ABUU'S VOICE
 ZAWADI ZA KISA KWA MCHUMBA WAKE ABUU NIMEZIPENDA SANA... ATLEAST TOFAUTI NA SIO SAA...
 KISA AKIMKARIBISHA ABUU MCHUMBA
KISA AKIPATA NASAHA
MWINJILISTI WA GOSPEL KAKA YAKE KISA AKIMPA ZAWADI YA NYIMBO
ZAWADI
.MAMA MZAZI AKITOA ZAWADI
 EVANGELIST MAMA TIPULIKE AKIMKABIDHI KISA ZAWADI YA BIBLE AMBAYO NI BIBLE YAKE YA KWANZA
 PALE MAMA ANAPOSALI KWA AJILI YA BINTI YAKE
DADAZ
KAKA WAKIMPA HONGERA KISA
KISA AKIKABIDHIWA KWA WAKWE ZAKE
NYUSO
KISA NA MAMA ZAKE
EVANGELIST MAMA TIPULIKE, MAMA MZAZI
MAMA MDOGO WA KISA
ABUU MCHUMBA & MPAMBE WAKE
KISA'S BLOOD SISTER PENDEZA SANA
PENDEZA EEEEH
SISTERZ....
MAIDS
GROOM SELFIE
WEDDING SELFIE
MAMA NA MWANA
MAMA NA WATOTO
BYE BYE KISA SEE YOU ON YOUR BIG DAY

Post a Comment

0 Comments