MARYAM & ABDULRAHMAN AQDI!!!!

AQDI YA MARYAM & ABDULRAHMAN MASHAALAH MAHARUSI WAMEPENDEZA SANA, NDOA ILIFUNGWA MASAKI NYUMBANI KWA KINA MARYAM, TUNAWATAKIA KHERI INSHAALAH

MAMA NA MWANA MASHAALAH
MAMA AISHA SHAMTE
ZAWADI ZA MARIAM TOKA KWA FAMILIA....
BWANA HARUSI KUOA NYUMBANI FAMILIA YA MOHAMED MZEE
BIBI ZAKE MARYAM MASHAALAH!!!
 MH. ZARINA MADABIDA
 WAKWE WAKIKARIBISHWA....
MARYAM IKITOA IDHINI
 NDOA IKIFUNGWA....
 DUA...
 BWANA ABDULRAHAMAN AKIMPA MKONO MKEWE MARYAM
 BARKA...
ABDULRAHMAN NA MARYAM WAKIKABIZIWA VYETI
 ABDULRAHMAN AKIONDOKA NA MKEWEPost a Comment

2 Comments

  1. Mashallah Maryam umependeza sana mungu akujaalie kila la kheri katika ndoa yako

    ReplyDelete
  2. harusi nzuri sana short but beautiful imefata hawsa maadili ya sheria za dini ya islamic ALLAH AKBAR

    ReplyDelete