NEW SHOP IN TOWN, ANGELS ACCESSORIES!!!!!!

YES NI DUKA JIPYA KABISA NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, HABARI NJEMA KWA MAFUNDI WA NGUO NI WAUZAJI BIDHAA ZA KUONGEZA NAKSHI KWENYE NGUO, ZIPU ZA NGUO, PIA WANAUZA VIFUNGO VYA NGUO, MASHATI YA KIUME VIFUNGO VYENYE UBORA NA DESIGN TOFAUTI RANGI ZINAPATIKANA AINA NYINGI, WANAUZA JUMLA NA REJAREJA, MIKOANI WANASAFIRISHA KWA WATEJA WA JUMLA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI.....

WANAPATIKANA :: KARIAKOO MTAA WENYE BENK YA AKIBA

MAWASILIANO     :: +255 712 282 153 / 712 880 147

ZIPU ZA PLASTIC RANGI TOFAUTI
 LACE ZA KUONGEZA NAKSHI KWENYE NGUO
LACE ZA NGUO
RIBBON ZA NGUO QUALITY NZURI
 VIFUNGO VYA NGUO AINA MBALIMBALI
 VIFUNGO VYA NAKSHI KWA AJILI YA NGUO ZA KINA MAMA
 VIFUNGO VYA MASHATI

Post a Comment

0 Comments