SAFINA'S NIGHT!!!

Bride                                      :: Safina
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Best Choice Hall
Makeup                                 :: GNG Bridal Salon
Color                                      :: Hot Pink & Orange
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 25th August 2016
SAFINA'S NIGHT PENDEZA SANA BABY GIRL MAKEUP ON POINT KAZI NZURI YA GNG SALON, SHEREHE YA NGUVU ILIKUWA NI KUNYWA KULA NA KUCHEZA, HONGERA MC KWA KUENDESHA SHUGHULI KISASA ZAIDI...

 MAMA NA MWANA
 KIPENZI CHA MAMA
DAD'S DAUGHTER
 WAZAZI WA SAFINA
 SAFINA AKIWA SALON GNG KWA MATAYARISHO
DECOR.....///
 CAKE
 MC
UWEPO DJ HAKIHARIBIKI KITU
WAZAZI WAKIINGIA
WAKWE WAKIINGIA
 WAPAMBE WAKISAFISHA NJIA
 WAZAZI WAKIMSHANGILIA BINTI YAO KIPENZI
MALKIA WA NGUVU AKIINGIA UKUMBINI
 BABA MZAZI WA SAFINA AKIMPOKEA BINTI YAKE KWA FURAHA
  DUA YA KUFUNGUA SHEREHE
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARIBISHA NDUGU, JAMAA NA WAALIKWA
 SAFINA AKITAMBULISHA FAMILIA YAKE...
BABA NA MAMA WAZAZI WAKE SAFINA
SAFINA AKIWASHKURU WANA KAMATI
 INTRO... WAKWE
WAZAZI WA BWANA HARUSI
 CHAMPAGNE
 WAZAZI WAKIONGEA NA SAFINA NA PIA WALIMKABIDHI ZAWADI..
BABA MZEE NURDIN AKIMKABIDHI BINT YAKE MSAAFU MTAKATIFU
MAMA BI MARIAM AKIONGEA NA SAFINA
HAPA SAFINA AKUMTAFUTA MCHUMBA, MCHUMBA ALIKUJA MBELE
JAMANI HUYU NDIO MCHUMBA WANGU, MUME WANGU MTARAJIWA
 SAFINA AKIMKABIDHI MCHUMBA ZAWADI YA SAA YA UKUTANI
SHANGAZI NA KAKA YAKE SAFINA WAKIMKABIDHI SAFINA KWA WAKWE
 MASHANGAZI WAKIKABIDHIANA SANDUKU
 SAFINA AKIMKABIRISHA MCHUMBA WAKE CHAKULA CHA USIKU
SAFINA HUYU NDIE BARAFU WA MOYO WANGU
 WAZAZI WAKIMPA ZAWADI SAFINA LG HOME THEATER
 SAFINA AKIWAPA ZAWADI WAZAZI WAKE
 KAMATI YA SHEREHE IKIKABIDHI ZAWADI
KATIBU WA KAMATI AKIONGEA
SAFINA AKIPOKEA ZAWADI YA KAMATI CHEQUE
BABA NA MAMA WAKITOA ZAWADI
 NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
BABA MZAA CHEMA
 SAFINA & MC WAKE
BYE BYE SAFINA KILA KHERI KWENYE MAISHA MAPYA

Post a Comment

0 Comments