HAMIDU (NYANDUTOZ) & LATIFA WEDDING CEREMONY!!!

Groom                                   :: Hamidu Salim
Bride                                      :: Latifa Salmin
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Msasani Tower
Makeup                                 :: Gng Saloon
Color                                     :: Black & Red
Photographed by                :: Mashughulimedia - +255655426100
Decor                                   :: Princess Latifa Decor
HAMIDU & LATIPHA WEDDING CEREMONY (NYANDUTOZ) NI MSANII WA HIPHOP  KWANZA KABISA NAWAPONGEZA WANAKAMATI NI WEDDNG PARTY YA UKWEE'E NIMEPENDA MPANGALIO MZIMA WA SHEREHE ILIKUWA NI TOFAUTI SANA NA NYINGINEZO, BONGO STARZ KIBAO WALITOA BURUDANI, UNCLE K CHAKULA KINZURI SANA, VINYWAJI VYA AINA ZOTE ILIKUWA NI KATA MTI PANDA MTI, DECOR YA UKUMBI VERY SIMPLE BUT EXPENSIVE, WAALIKWA WAMEVAA DRESS CODE COLOR ZA SHUGHULI, MAHARUSI WAMEPEWA ZAWADI ZA MAISHA TOFAUTI NA ZAWADI ZA KILA SIKU, NISIKUMALIZE SAMA NDANI

PAMELA & LATIPHA
GLORY GNG SALON.....
DECOR...//
MC-DR. CHENI
MAHARUSI WAKIINGIA...
 CAKE & CHAMPAGNE
 INTRO...
KWANZA MUME WANGU
CHAKULA BY UNCLE KASSIM ILIKUWA NI BALAA....HONGERA SANA
 YOUNG D.....
 ROMYJONS DIAMOND PLATNUMZ OFFICIAL DJ AKITOA BURUDANI YA KAZI
 ROMYJONS SI MTU WA SPORT SPORT....
HAPPY BRIDE...
 ILIKUWA RAHA SANA
 BARNABACLASSIC AKIWASUPRISE MAHARUSI
WOOOH, HUSBAND AKIFOKA KWA MKEWE.....

ZAWADI NA HONGERA KWA MAHARUSI
DIAMOND DASH TEAM
PETITMAN AKITANGAZA AFTER PARTY KIGAMBONI NA ZAWADI
WAZAZI WAKIKABIDHI ZAWADI
MADADA WAKIKABIDHI SANDUKU
 MARAFIKI WA BI HARUSI WAKIMKABIDHI ZAWADI, WALIMPIA CHUO FEE YA 2017, PIA 1 NIGHT RAMADA HOTEL FULL BORD ZAWADI ZA UKWEE'E
DADA AKIWAKABIDHI MAHARUSI ZAWADI YA GETI LA NYUMBA LENYE THAMANI YA 3M
 BILINASS PERFORMING KAMA FIESTA VILE
 SHOSTITOZ WAKIMTUNZA SHOGA
KYIDAWA AKITUNZA
 NYUSO
PRISCA & JACQUELINE 
TARAJ DADDY AKE
FARID & WIFE
DYNESS, SHANI & PRISCA
KIBABUDE KIBA'S MANAGEMENT
SHANI & DYNESS
ARTIST RUCKYBABY TALK OF THE TOWN
SHANI SIMKOKO BOSSLADY...PENDEZA SANA
DULLA FROM EAST TV, PLANNET BONGO & FRIEND
KIOO HAKIDANGANYI....
DYNESS MAMA YA INTERIOR DESIGN, CONGRATS MDOGO WANGU KAZI YAKO NZURI SANA
PRETTY
RUCKYBABY & FRIEND
REMINA & DARLING DAUGHTER 
SWEETY MOTHER
LOVELY...
YAP REMINA MAMA YA REMINA SALON & DR, CHENI
TIFFA KASEMBO & FRIEND
KYIDAWA & HUBBY
BILAL MASH MASH & FRIEND
WEDDING SELFIEZ
DYNESS & REMINA
 JACQUELINE YOU LOOK SO SWEETY
RHODA & FRIENDS
 ARTIST RUCKYBABY & FREIND
PETITMAN DADDY AKE TARAJ
PAMELA & HUBBY AKE
KIBABUDE & CHACHA
FARID UNCLE AKE NYANDUTOZ
MY KIDYAWA LOVE YOU SANA
DIAMOND DASH, KIBABUDE, PETITWAKUACHE & ROMYJONS 
 RED CARPET
WANAKAMATI WA UKWEE'E BONGE LA PARTY...
TIFFA & FREINDS
MIE & UNCLE K TUKIWA NA WADAU WETU
BILLNASS & SELFIE.....
REMINA, I TUKIWA NA MDOGO WETU DYNESS
KYIDAWA & AMINA
DYNESS & REMINA
NIKIWA NA MDAU WANGU
AMINA SHEBA & FRIEND
AMINA SHEBA & FRIEND
PAMELA PENDEZA SANA MUKE YA CHACHA
TIFFA KASEMBO FUNDI CHEREHANI MWENYE VIWANGO
RUKIA MASHAALAH UMEKUWA BINTI YAKE MAREHEMU ASHA JABUPost a Comment

0 Comments