KIMAMY'S KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Kimamy
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Hellenic Club
Makeup                                 :: Jerry Salon
Cake                                      :: Manals cake
Décor                                    :: Nicodemus Karan
Color                                     :: Purple & Peach
Caterer                                  :: Dorka Catering
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YEES WADAU NI KITCHEN PARTY YA KIMAMY, EEEH HII NI BOMBA SANA, KWANZA KABISA NAPENDA KUMPA PONGEZA ZAKE MAKEUP ARTIST JERRY KWA KAZI NZURI, SHUGHULI PAMBE YA WATOTO WA MUJINI, FRIENDS OF JANGWAANI MKO JUU 

ABSOLUTELY BEAUTIFUL
PRETTY KIMAMY
CUTENESS!
HINNA MASHAALAH
HAPPIEST BRIDE
 SOMO KITENGE SOMO WA UKWEE'E NA MWARI WAKE PENDEZA SANA
WAZAZI, ASHA TOM, FARIDA TOM & VERO TOM NA BINTI YAO MASHAALAH
DECOR.....////
MC JAMILA KATIKA UBORA WAKE
CAKE
 WAZAZI WAKIINGIA
ASHA, FARIDA. & VERO
WAZAZI MMENOGA BALA.....
 FRIENDS OF JANGWANI WAKIINGIA, NI MARAFIKI WA MTAA WA JANGWAANI KARIAKOO NIMEWAKUTA NA MPAKA LEO WAPO HAWATETEREKI
 SOMO KITENGE NA PAMBE YAKE WAKIINGIA
NAKUONA FATMA JANGUO & DOTTO MAGANGA PACHA
PAMBE YA SOMO..... ALHANISA UMECHEZA KOTE KOTE.....NAKUAMINIA
 MAIDS WA KIMAMY WAKISAFISHA NJIA
 KIMAMY AKIINGIA NA SOMO YAKE....
DUA....///
WANA KAMATI WAKIINGIA
KIMAMY AKIIPOKEA KAMATI
MMENOGAJE WATOTO WA JANGWAANI NA SARE PAMBE KAMA KAWAIDA YENU
JASMINEAFUA AKIKARIBISHA WAGENI WAALIKWA
RAHA ORIGINAL WAKITOA BURUDANI
 KHADIJA MNYIKA
MWARI AKIFICHULIWA.....///
KIMAMY AKITOA INTRODUCTION
CHAMPAGNE....////
SOMO NA MWARI PAMBE EEEH
CHEERS NA SOMO YAKE
KIMAMY AKIKATA CAKE
 KIMAMY AKIWALISHA MAMA ZAKE
 ZAWADI KWA KIMAMY
  BIBI AKIMTUNZA MJUKUU
 ALHANISA NA PAMBE YAKE, WAMETUNZAJE SASA
WAKATI WATU WANAENDELEA KUTOA ZAWADI KULIKUWA NA HII HAPA
TATOO BY RAMA UNACHORWA HAYO NDIO YA MUJINI
HATA KAMA UMESHACHORA HINNA RAMA ANAKUONGEZEA NAKSHI
 ASHA TOM MAMA AKITUNZWA
ASHA TOM MAMA MLEZI AKITUNZWA NA ALHANISA NA PAMBE YAKE
 BI AFUA NA REHEMA WAKIMTUNZA KIMAMY
 WAKWE WAKITUNZA
 WAZAZI WAKITUNZWA
FRIENDS OF JANGWAANI WAKITUNZA
JASMINEAFUA AKIONGEA KWA NIABA YA FRIENDS OF JANGWAANI
WASTARA NA 
 DORKA CATERING
 WAZAZI WAKIMTUNZA SOMO KWA MARA YA PILI TUNZA YA KWANZA NI KWENYE SINGO YA KIMAMY
SOMO KITENGE MAMA YA KIJUMOZ NA PAMBE YAKE WANA WA JIJI HAPANA CHEZEYA MKOJUU
 NYUSO
SISTERZ FOREVER!!! NAPENDA MNAVYOPENDANA FARIDA TOM, VERO TOM & ASHA TOM
RAFIKI ZANGU WA DHATI JAPO HATUONANI LKN MAPENZI TELE KWENU SALMA KESSY & NYOTA WAZIRI
BI AFUA & REHEMA
MAMA NA MWANA
 VERO TOM & KIMAMY
FARIDA TOM UMETOKAJE SASA...
SHANI SIMKOKO NA PAMBE YAKE PENDEZA SANA
MWASHABANI NDOVU & JOKHA SIMBA
TABU & KHADIJA MNYIKA
SITTU MWASU & PACHA WAKE FATMA MSOMALI
GEA HABIB MAMA LA VIP
SHANI SIMKOKO NA WADOGO ZAKE
KITINDA WA BI AFUA JASMINEAFUA
HAFSA RAMADHAAN NA PACHA WAKE NGARINGARI
MAMA MZAA CHEMA MASHAALAH
ALHANISA, GEA HABIB WA LEO TENA 88.4 & FRIEND
NYIE WATOTO SI KWA KUPENDEZA HUKO
ALHANISA & FARIDA TOM PAMBE SANA
MWASHABANI NDOVU SHOGA YANGU & FREINDS
MARY MY LONG TIME FRIEND...LOVE YOU MORE
JASMINE & SWEETY MAMA
ZUHURA MARANGIRANGI & FRIENDS
NYOTA & MWANAISHA MASANGA
SHARIFA KAVU MAMA YA SHERRY FASHION PENDEZA SANA
MIE NA MDAU WANGU, BI HARUSI WANGU TOKA ENZI HIZO TABU MABOBISHI MAMA WA YANGA MOJA...MUTOTO YA JANGWAANI
FATMA JANGUO & FRIENDS
HUSNA MADENGE & WASTARA FRIENDS FOREVER
 REDCARPET 
MC JAMILA KITIMTIM & SHARRIFA KAVU UDUGU HAZINA YENU MPENDANE HIVYO HIVYO MPAKA MFANANE
BYE BYE KIMAMY...Post a Comment

0 Comments