MARIAM' S SENDOFF PARTY!!!

Bride                                      :: Mariam
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Elegance Hall
Makeup                                 :: GNG Saloon
Color                                     :: Red, Royal Blue, & Yellow
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SENDOFF YAKE MARIAM PENDEZA SANA RED GOWN IMEKUTOWAJE SHOSTI, MAKEUP & HAIRSTYLE ON POINT BY GNG SALON YOU LOOK PRETTY, SHEREHE ILIENDESHWA VINZURI SANA NA MC JOSE MARA UKO JUU TISHA, WAALIKWA NI KATA MTI PANDA MTI TISHA WANAKAMATI

DECOR....////
 MC - JOSE MARA
SIAH KISANJI & SHOSTITO MLINOGAJE...
KAMATI IKIINGIA KWANZA
 WAKWE WAKIINGIA
MWENYEKITI AKIKARIBSHA WAGENI
 MARIAM AKIINGIA
 CAKE
 MARIAM AKIWALISHA KAKA ZAKE CAKE
 CHAMPAGNE
MZAZI AKIONGEA
THANK YOU SO MUCH
 FAMILY INTRODUCTION BY MARIAM
MARIAM AKIONGEZA AKIWAOMBEA DUA MAREHEMU WAZAZI WAKE
MARIAM AKIMTAMBULISHA MC WAKE NA RAFIKI YAKE JOSE MARA
MARIAM AKIMFUATA MCHUMBA KWA NYIMBO ZA MAHABA
 MARIAM AKITULETEA MCHUMBA
MMETUONA
WAPAMBE WA UKWEE'E MWANZO MWISHO
USO ZA FURAHA
HAPPIEST COUPLE
MARIAM ALIANZA NA VIATU
UMEONA KIATU
MARIAM AKIMVISHA MCHUMBA MKANDA WA UKWEE'E PURE LEATHER
DANIEL AKIPONGEZWA
WAKWE WAKIONGEA
MARIAM & DANIEL PENDEZA SANA
SIAH KISANJI PAMBE SANA
HAPPY MARIAM BRIDE TO BE
 ZAWADI NA HONGERA KWA MARIAM
MARIAM AKITUZWA DOLLAR
SANDUKU LA MWARI
SHANGAZI AKITAKA CHAKE
MASHANGAZI WAKIONGEA
HAPANA CHEZEYA VERO MOYO
WAFANYAKAZI WENZAKE NA MARIAM
FRIENDS IF MARIAM
 SHANGAZI AKITUNZA ZAWADI
 KAKA NA MKEWE WAKIPELEKA ZAWADI
MARIAM AKIWA & KAKA YAKE & MKEWE
MARIAM & LE BRO!!!
KAMATI YA UKWEE'E IKIKABIDHI ZAWADI
SALAMA AKIONGEA KWA NIABA YA KAMATI
NYUSO
VERO & HUBBY
VERO MOYO WA VERO SALON & US
MIE NA SIAH KISANJI
MAMA YA MIPANGO SIAH KISANJI, PRETTY LADY
YAP NA WADAU WA UKWEE'E WAKIONGOZWA NA SIAH KISANJI
BYE BYE MARIAM


Post a Comment

0 Comments