AMINA'S KITCHEN PARTY!!!

Bride                                      :: Amina
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Picolo Beach
Makeup                                 :: Glambox
Color                                     :: Gold, Green & Watermelon
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 10th  December 2016
MASHAALAH!!! AMINA UMEPENDEZA SANA HAIR STYLE, MAKEUP & NGUO PERFECT, NI KITCHEN PARTY YA AMINA ILINOGA SANA, KWA MARA YA KWANZA BI HARUSI APATA MTAJI BIASHARA UKUMBINI KAWEZESHWA NA KINA MAMA, AMINA ALIBAHATIKA KUPEWA MBINU ZA BIASHARA MBALIMBALI NA WAJASIRIAMALI WAZOEFU....NI BINTI MREMBO MWENYE TABASAMU LILIPOA USONI....

GORGEOUS!!! 
BEAUTIFUL....
MASHAALAH!!!
SOMO NA MWARI
AMINA & SWEETY MAMA....
AMINA NA MAIDS WAKE
DECOR....///
 CAKE
ZAWADI
 MC GEAHABIB MAMA LA VIP!!! SI WA MCHEZO MCHEZO
 WAZAZI WAKIINGIA UKUMBINI

 AMINA AKIINGIA UKUMBINI

 M/KITI AKIKARIBISHA WAGENI
 DUA...
 INTRODUCTION
CHAMPAGNE
 AMINA AKIKATA CAKE
AMINA AKIGAWA ZAWADI YA VIPEPEO, KWA JOTO HILI VILIFANYA KAZI KWELIKWELI
 MJASIRIAMALI AKIMPA MBINU ZA BIASHARA MBALIMBALI AKIWA NDANI YA NDOA
HII NILIPENDA SANA PALE PALE AMINA ALIPATA MTAJI WA BIASHARA
 WAALIKWA WAKIJISAVIA KWENYE SWAHILI CORNER
 ZAWADI KWA AMINA NA PONGEZI
 MAMA MZAZI AKIMPA BINTI YAKE ZAWADI
MAMA AKIKABIDHI FRIDGE YA KISASA
AMINA AKIKABIDHIA MSWALA
 AMINA & MAMA WAKITUNZWA...
WASHING MACHINE & FREEZER NEW WITH GURANTEE
MAMA NA MWANA....
SOMO AKIKABIDHI ZAWADI
YES SOMO UKO JUU
 CHAKULA
AMINA AKIPOKEA MADINI...
 NYUSO

WAZAZI NA BINTI YAO MASHAALAH
BYE BYE BABY GIRL

Post a Comment

0 Comments