HAFSA KITCHEN PARTY MADA!!!

Bride                          :: Hafsa
Event                         :: Kitchen Party Mada
Venue                        :: Majestic Hall
Makeup                     :: Kani Saloon
Color                         :: Blue, Yellow & Red
Photosby                  :: Mashughulimedia - 0655426100
YES NI KITCHEN PARTY MADA YA HAFSA, MASHAALAH PENDEZA SANA KUONA ZAIDI ZAMA NDANI

  MWARI NA SOMO WA UKWEE'E MC KIDE
SISTERZ FOREVER...
 DECOR....
CAKE
 ZAWADI
MC KIDE AKIFANYA YAKE...
MAMA MZAZI AKIINGIA NA KINA MAMA WENZAKE
HAFSA AKIINGIA UKUMBINI
 DUA....///
 MWARI AKIFICHULIWA
HAFSA AKITAMBULISHA FAMILIA
CHAMPAGNE
 HAFSA AKIKATA CAKE
 HAFSA AKIKABIZIWA ZAWADI ZAKE
MAMA AKIMTUNZA BINTI YAKE
SOMO KIDE AKIONGEA NA MWARI WAKE
WAKWE WAKITUNZA
KAMATI
 MAMA AKITUNZWA....
CHAKULA
NYUSO
WIFIS
MWARI NA SOMO ZAKE
HAFSA NA DADA YAKE KIPENZI
BYE BYE HAFSA 


Post a Comment

0 Comments