NATALY-TONA CONFIRMATION PARTY!!!

Name                                     :: Nataly-Tona S.K Safari
Event                                     :: Confirmation Party
Venue                                    :: Safari Carnival
Makeup                                 :: Glambox
Décor                                     :: Rithadecor - +255 753 960 601
Caterer                                  :: Uncle Kassim +255 712 968 659
Color                                      :: Gold & Hot Pink
Mc                                         :: Jamila Kitimtim - +255 655 374 440
Music                                    :: Respect Dj's
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Cake                                      :: Poppsycakecreations +255 764 222 212
Date                                        ::11th  December 2016
THANK YOU LORD NATALY-TONA CONFIRMATION PARTY, NI KIJISHEREHE KADOGO KUMPONGEZA BINTI YANGU WA KWANZA KWA KUPATA KIPAIMARA, ASANTE SANA NDUGU NA JAMAA ZANGU TULIOJUMUIKA PAMOJA, SPECIAL THANKS TO SERVICES PROVIDER KWENYE SHUGHULI YANGU KWANI THEY ARE BEST TO ME, CATERER UNCLE KASSIM, CHAKULA KINZURI SANA, DECOR RITHADECOR WAS AMAZING, MUSIC, RESPECT DJS SOUNDTRACK YA UKWE'EE, MC JAMILI KITIMTIM THIS LADY YUKO SIMPLE SANA...MUNGU AWABARIKI WOTE...

NI KWA BARAKA ZAKO
YOU ARE SO BEAUTIFUL MY GIRL...BE BLESSED!!!
WITH MY BEAUTIFUL GIRLS MONALISA-TETA & NATALY-TONA
ANGELA MAMA WA UBATIZO NA BINTI YAKE PENDEZA SANA
MAMA WA UBATIZO ANGELA MWASHA & US
MY DADA & BINTI ZAKE
MY SISTERZ....
NATALY-TONA & AUNT RADE KIPENZI CHAKE
MAMA'S & NATALY-TONA
RADE, JOSE & NATALY-TONA
SYIA & TONA
US WITH JUNIOR BOY!!
BROTHERS & SISTERZ
FAMILY WE ARE HAPPY
DECOR.......///
RITHADECOR ITS AMAZING...
CAKE
THANK YOU SO MUCH POPPYCREATIONS
MY SUPER MC - JAMILA KITIMTIM 
NATALY-TONA AKIINGIA
 NATALY-TONA AKISALI KUFUNGUA SHEREHE YAKE
 MAMA NIKIKARIBISHA WAALIKWA KWENYE KISHEREHE CHA KUMPONGEZA BINTI YETU, 
 NIKIPONGEZWA NA DADA ZANGU, MAMA YANGU KIPENZI SAADA BRAZACK
 THANK YOU MARY & SHARIFFA
 ASANTE SANA MH, DIWANI MAMA MTEMVU
 NATALY-TONA AKITAMBULISHA FAMILIA
 MONALISA-TETA ALISUBIRI SANA HII PARTY ILI ANYOOSHE MIKONI
 SHE IS HAPPY, DADA KATIMIZA FURAHA YAKE
 NATALY-TONA'S BROTHER 
 MKUU - SHUFAA KIANGO
 MAMA WADOGO NA WAKUBWA....SOPHIA, MUHAZA, SHERIFA, HAWA, HAMIDA, HALIMA
 BIBI, BIBI HUYOOO SAADA BRAZACK
 NATALY-TONA & DAD WAKICHEZA NGOMA YA NYUMBANI
 DAD'S DAUGHTER 
 NATALY-TONA AKIKATA CAKE
 NATALY-TONA AKIMLISHA MAMA WA UBATIZO ANGELA MWASHA
 AKIMLISHA BEST FRIEND DEBORA
 MAMA MKUBWA MAMA WA MITO MITO
 AKIMLISHA MAMA MKUBWA TOKA ARUSHA MAMA KAREEN
 BIBI AKILISHWA CAKE...
 AKIMLISHA AUNT ANNA MOSHA, MKE WA KAKA GEORGE MOSHA
 JUNIOR NAYE AKILA CAKE YA DADA YAKE
 AUNT RADE KIPENZI CHAKE NATALY-TONA, SHOSTI WAKE
 DADA YAKE KAREEN AKILISHWA CAKE
 CHAMPAGNE...
NATALY-TONA & BEST DADDY IN THE WORLD
 JIRANI ZANGU WAKISHEREKEA, ASANTENI KWA SUPPORT YENU
 HUKU WAKUBWA TUKIENDELEA NA DANCE, WATOTO WALICHEZA KWENYE JUMPING CASTLE 
 CHAKULA CHA MCHANA
HAPA NAPENDA KUTOA SHUKRANI NYINGI KWA RAFIKI YANGU ANKAL K, NDIE MPISHI WETU, HUYU MTU SIJUI NISEMEJE MAANA ALIFANYA NA ZIAIDA 
 MIE NA NDUGU YANGU ANGELA MWASHA TUKIHAKIKISHA KILA KITU KINAKWENDA SAWA
 KELVIN, DENIS, JOSE KAKA ZAKE NATALY-TONA & UNCLE GEORGE
 ZAWADI KWA NATALY-TONA
 ALIANZA MKUU SHUFAA KIANGO NA FAMILIA YAKE
 ASANTE SANA DA SHUFAA
 DADA NA JIRANI YANGU MARIAM SIWA AKIMPONGEZA BINTI YAKE
 JIRANI ZANGU WAKIMPA PONGEZI NATALY-TONA
 NAWASHUKURU WOTE SANA SANA
 MH. DIWANI MARIAM MTEMVU NA BINTI YAKE SAMIA WAKIMPONGEZA NATALY-TONA
 HAMIDA & SHARIFFA BAKO
 HAJARY, MUHAZA &  HAWA
 MY ARUSHA FAMILY, KIHAGO'S FAMILY
 SOJA & SALUM WAKIMPONGEZA NATALY-TONA
 MY DADA SHARIFFA HASHIM NA MUME WAKE NAGIB WAKIMPONGEZA TONA
 NIKITAMBA KUWAPOKEA NDUGU ZANGU
 WIFI YANGU ELIZABETH LUHOYO
 ASANTE WIFI YANGU ANNA MOSHA KWA KUNITUNZA TENGE
 ASANTE MERCY PEMBA KWA ZAWADI NZURI ....
 MAMA WA UBATIZO AKIMTUNZA BINTI YAKE NA PAMBE YAKE, UKO JUU
 FUNDI MWAJUMA MWENYE VIWANGO TIFFA HOUSE OF FASHION
 HOW SWEET YOU ARE SHARIFFA KAVU, ASANTE SANA KWA ZAWADI
 JIWIFI LA UKWEE'E AISHA MTENGETI ASANTE SANA KWA KUMTUNZA MWANAO 
 KHADIJA MNYIKA UMETISHA...
 AUNTY AKE NATALY-TONA ASHA TOM THANK YOU
 TABU MABOBISHI SI UNAJUAGA VILE NAKUOENDAGA
 MC-JAMILA KITIMTIM SINA MANENO HUU NDIO UDUGU ASANTE SANA
 EEEH NURU...NINI TENA???
 UMETISHA MTOTO WA DESIGNER MKUBWA NDANI NA NJE YA NCHI BAHIYA LUMELEZI MADINI KWA NATALY-TONA
THANK YOU ALLY MOO, MANSOOR & MOHAMED WALICHANGANYIKIWAJE JUMPING CASTLE HATA PICHA HAKUNA
NILIKOSA MANENO KWA KWELI.....
NIKITUNZWA NA MAMA BI SAADA
 NYUSO
NAWAPENDAJE SASA, HAWA, MUHAZA & SHARIFFA BAKO
RADE DOGO LANGU LA UKWEE'E
JIRANI ZANGU, MARIAM SIWA, MAMA MASSAWE & BI JOY
WITH MH DIWANI MARIAM MTEMVU THANK YOU SO MUCH FOR SUPPORTING 
YAP MTARAJIWA HALIMA ABEID
 WITH SOPHIA & SHUFAA KIANGO
 ASHA TOM & AISHA MTENGETI
MY SISTER & BINTI AKE KAREEN
NUU & ODO WAKE....
MAMA RACHEL
MAKEUP BY GLOW28_
TINA
 SAADA NASSORO
WITH MY SISTER HAWA.....THANK YOU FOR SUPPORTING
WITH MY BABY GIRL TANISA
JIRANI YANGU....
NIKIWA NA TANISA & SOPHIA
WIFI WA UKWEE'E MIAKA 100 AISHA MTENGETI
HAPPY PEOPLE!!! HAVING FUN
FRIENDS OF JANGWAANI, KHADIJA, ASHA, FARIDA, & TABU MABOBISHI
UDUGU WANGU NITAKULIZA WEWE IKO SIKU
 RADE, MAMA TONA, SOPHIA & MAMA YA MITO MITO
DA SHERRY WANGU POLE SANA MY SISTER
HAMIDA & MIE
DA SHUFAA MKUU, MY LOVELY SISTER LOVE YOU SANA
HAJARY & MIE
BI SAADA & MIE MASHAALAH
KAREEN & WARDA
SOPHIA & BABY GILR WAKE LOL
SISTER & BROTHER KELVIN
HAMIDA, SOPHY & NATALY-TONA
LATIFA MWASHA. MY DADA AISHA & MIE
SHERRY WANGU LOL IS BETTER THAN YOURSPost a Comment

0 Comments