RAJAB & TATU AQDI!!!!

YAP NI COUPLE MPYA KIHALALI TATU & RAJAB.BAADA YA NDOA KUFUNGWA, UKUMBI WA AL-HILAL, MMEPENDEZA SANA MASHAALAH!!!

DECOR....
 BI HARUSI AKIINGIA
 BWANA HARUSI AKIINGIA
 NDOA IKIFUNGWA
 DHIFA
BI HARUSI AKISUBIRI KUPEWA MKONO WA KWANZA NA MUME WAKE
BWANA HARUSI AKIENDA MPA MKONO MKEWE
 MAHARUSI WAKIVISHANA PETE
NEW COUPLE

Post a Comment

0 Comments