ROBO & SHUFAA WEDDING CEREMONY!!!

Groom                                   :: Robo Hamza
Bride                                      :: Shufaa Omar
Event                                     :: Wedding Ceremony
Venue                                    :: Picolo Beach
Makeup                                 ::
Cake                                      ::
Color                                     :: Yellow, Green & Orange
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI WEDDING CEREMONY KATI YA ROBO & SHUFAA, BAADA YA NDOA ZANZIBAR SASA TWASHEREKA BONGO, MASHAALAH SMART COUPLE SHEREHE YA UKWEE'E NDANI YA UKUMBI WA PICOLO NISIMALIZE ENDELEA NA PICHA....

 OFFICIAL MR & MRS ROBO
MAKEUP ON FLEEK
GORGEOUS!!! 
SHE IS HAPPY
 BEAUTIFUL SHUFAA
SHUFAA NA WIFIE
 WIFI WA UKWEE,E
DECOR....///
 MC
WAZAZI WAKIINGIA
 MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKIINGIA
DADA WA BWANA HARUSI STUMAI PENDEZA SANA NA BLACK & ORANGE
WAKWE TOKA ZANZIBAR WAKIINGIA
 MAHARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
 DUA....
 KAMATI YA SHEREHE
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARISHA WAGENI WAALIKWA
ROBO AKIITAMBULISHA FAMILIA
 BAADA YA KUITAMBULISHA FAMILIA, ROBO AKAMTAMBULISHA MKE WAKE KIPENZI SHUFAA
 INTRODUCTION UPANDE WA WAKWE
 SHUFAA & ROBO WAKIKATA CAKE
 KAMATI IKIPOKEA KIPANDE CHA CAKE
 CHAMPAGNE
 SPECIAL KWAITO YA ROBO & SHUFAA
ROBO & SHUFAA WAKIFUNGUA MZIKI

FAMILIA WAKIONGEA NA MAHARUSI
 MAMA MZAZI WA SAIDI AKIWATUNZA MAHARUSI
DADA YAKE ROBO AKITOA ZAWADI UMEOMA EEEH
 HAPANA CHEZEYA DADA AKIWATUNZA POUND
 NYUSO
 ROBO NA VIPENZI VYAKE, MAMA MZAZI NA MKEWE SHUFAA
FAMILY
ONLY SISTERZ WITH BROTHERZ
SHEKHA & FREIND
WEDDING SELFIE
 BYE BYE ROBO & SHUFAA

Post a Comment

0 Comments