SAIDI'S GRADUATION PARTY!!!

NI SHEREHE YA KUMPONGEZA SAIDI ILIYOFANYIKA KING D HOTEL, BAADA YA KUMALIZA BACHELOR OF FINANCE UDSM, TULIANZA NA MAULID YA DUA , SAIDI KIJANA MTULIVU NA HESHIMA FAMILIA NA MARAFIKI WAKIMPONGEZA, YOU DESERVE...

SAIDI'S GRADUATION CAKE
MC
SAIDI AKIINGIA
SHEMEJI YAKE AKIKARIBISHA WAGENI
SAIDI AKITAMBULISHA FAMILIA
 CHAMPAGNE
SAIDI AKIKATA CAKE
HONGERA SANA KIJANA WETU
MAMA SAIDI PENDEZA SANA
 CHAKULA
SAIDI AKIPONGEZWA
WAZAZI WAKIKABIDHI ZAWADI KWA KIJANA WAO


DADA YAKE SAIDI MWANTUM AKIMPA ZAWADI YA TICKET YA KWENDA SOUTH AFRICA, MWANTUM SI MCHEZO MCHEZO
NYASO AKITUNZWA KWA 
UNCONDITTIONAL LOVE
HUSBAND AKIMTUNZA MKEWE
NYASO AKIWA NA FAMILIA
NYUSO
NYASO, SAIDI'S SISTER
MWAGUMBO, KIEDE & FREINDS
MWAMNTUM & FRIEND
RAJAB NA MKEWE...
MAMA MKUBWA
BABA NA MAMA 
SAIDI & FRIENDS
SELFIE...Post a Comment

0 Comments