SHEREHE ZA MAHAFALI YA PREMIER GIRLS SECONDARY KIDATO CHA NNE 2016!!!


MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE PREMIER GIRLS YAMEFANA KWELIKWELI, WADAU NIKISEMA WAMEJENGEKA NAOMBA MNIAMINI WASICHANA WANA CONFIDENCE YA KUTOSHA, WAMEANDALIWA KATIKA FANI MBALIMBALI PAMOJA NA SANAA, MICHEZO MASHUGHULIBLOG OFFICIAL PHOTOGRAPHER WA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE 2016 NA HICHI NDICHO TUMEWALETEA WAZAZI WENZANGU, HABARI NJEMA KABISA MWAKA UJAO 2017 WAMEANZISHA PREMIER GIRLS PRIMARY BOARDING SCHOOL, MANDHARI YA SHULE NI YA UTULIVU WA KUTOSHA, MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI HAYA NI MH. MWANTUM MALALE

PREMIER SECONDARY SCHOOL IS GIRLS SCHOOL PROVIDING FOR BOARDING ONLY. OUR AIM IS TO PROVIDE ALL ROUND EDUCATION THAT EMPOWERS GIRL CHILD TO MEET ALL CHALLENGES OF LIFE. WE TRAIN OUR GIRLS TO DEVELOP NEW AND BETTER IDEAS INSTEAD OF MERELY RECORDING HISTORY MADE BY OTHERS. IT IS THEREFOR OUR PROMISE THAT PARENTS WON'T BE DISAPPOINTED WHEN THEY ENTRUST US THEIR CHILDREN 

SCHOOL LOCATION:: KIROMO (KIBAONI) BAGAMOYO, TANZANIA. KIROMO IS IN BAGAMOYO DISTRICT IN PWANI REGION ABOUT 50KM FROM DAR ES SALAAM AND 8KM FROM BAGAMOYO

CONTACT:: +255713760616 / +255654400064

SCHOOL WEBSITE:: PREMIERGIRLSSECONDARY (BONYEZA LINK)

MGENI RASMI WA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE PREMIER GIRLS MH. MWANTUM MALALE AKIINGIA, MMILIKI WA SHULE AISHA SHAMTE MZEE AKIMPOKEA PAMOJA NA WALIMU
MGENI RASMI AKIENDELEA KUPEWA INTRODUCTION
MGENI RASMI ALIPATA WASAA WA KUTEMBELEA BAADHI YA MAENEO YA SHULE
HAPA AKIPEWA MAELEZO NA MMOJA WA WANAFUNZI
MGENI RASMI ALITEMBELEA SCHOOL LABARATORY NA KUPEWA MAELEZO YA KISOMI KAMA PHYSICS..
WANAFUNZI WAKIWA TAYARI KUMPOKEA MGENI RASMI
SKELETON
 BAADHI YA MAJENGO YA SHULE YA PREMIER GIRLS
LIBRARY YA SHULE IMESHEENI VITABU VYA KUTOSHA
PICHA ZA WAHITIMU
MGENI RASMI MH. MWANTUM MALALE AKIINGIA
MMILIKI WA SHULE YA SEKONDARI PREMIER GIRLS AISHA SHAMTE MZEE AKIINGIA NA MGENI RASMI
WAHITIMU WAKIINGIA
WIMBO WA TAIFA UKIPIGWA
MWALIMU MKUU WA SHULE AKITAMBULISHA BOARD OF DIRECTORS
WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE PREMIER GIRLS
MC WA MAHAFALI YA PRIEMIER GIRLS 2016 MC PILIPILI, COMEDIAN MC HUYU JAMAA YUKO VINZURI SANA 
FAIDA YA MC PILIPILI NI PIA MNAFURAHISHWA SANA
WAALIKWA MBALIMBALIA WAKICHEKESHWA
SASA DJ WA MC PILIPILI KWANI NYIE HAMJAMZOEA???
 MUWAKILISHI WA WAZAZI AKISOMA RISALA KWA WANAFUNZI
 TULIKARIBISHWA NA WASOMA MASHAHIRI...
 WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WAKISOMA RISALA YAO KWA MGENI RASMI MH. MWANTUM MALAL
TULIANZA NA SHOW YA NGOMA
 FASHION SHOW, PRIEMIER GIRLS WANAWAJENGA WATOTO KATIKA SANAA ZA FANI TOFAUTI, WANA MISS PRIEMIER GIRLS, HAWA NI WASHINDI KATIKA VIPENGELE TOFAUTI KAMA PHOTOGENIC 
 NILISIKIA WANAFUNZI WAKIMSHANGILIA KWA JINA LA A.K.A MABETO..... HAMISA MABETO FASHION MODEL..
  HII NI SHOW YA WIMBO WA PROFESOR JAY 
HUYU NI MSICHANA AMBAYE BAADA YA KUJIRUSHA SANA, SASA NI MGONJWA TAABANI
 HAPA WANATUONYESHA VILE WALIVYOKULA RAHA
 BAADA YA BINTI KUZIDIWA AKAENDA KUMUONA DOCTOR
 AKIMUELEZEA DOCTOR JINSI ANAVYOUMWA.....
DOCTOR AKICHUKUE MAELEZO YA MGONJWA
 MGONJWA ANAZIDI KULALAMIKA PIA NAKOHOA SANA
 DOCTOR AKMPA MAJIBU HIZO NI DALILI ZA UKIMWI UNAONEKA UMEATHIRIKA, SASA UNATAKIWA KULA VINZURI KULALA MAPEMA....
 MARAFIKI ZAKE WAKISIKITIKA NA KUJUTA NA STAREHE ZA ZISIZO NA MAANA KATIKA UMRI MDOGO
PRE FORM ONE WAKIWA TAYARI SHULENI PIA WALISHIRIKI KUTUONYESHA KIWANGO WALIVYOTAYARISHWA 
WANAFUNZI WA SHULE YA PRIEMIER GIRLS, WALITAYARISHA KITABU CHENYE MASHAHIRI NA KUKIUUZA 
MMILIKI WA SHULE YA PRIEMIER GIRLS AKIONGEA NA WAHITIMU
 MH. MGENI RASMI MWANTUM MALALE AKIONGEA NA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE
 MH. MWANTUM MALALE AKIKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU
  

 
WAHITIMU WAKIPONGEZWA NA FAMILIA ZAO
 WAHITIMU WAKIMTUNZA MATRONE WAO
CHAKULA
WAGENI WAALIKWA NA WANAFUNZI WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA
NYUSO
WAZAZI WA WAHITIMU NA WAGENI WAKISHUHUDIA MAHAFALI YA PRIEMIER GIRLS
GRADUATION SELFIE...

MDAU WANGUPost a Comment

0 Comments