KALUNDE'S KITCHEN PARTY!!!!!!

Bride                                      :: Kalunde Ismail Fundikira
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: PJ Hall
Makeup                                 :: Tumakay Makeup
Mc                                         :: Eliza
Caterer                                 :: Hussein
Color                                    :: Pink, Gold & Orange
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI ILE KITCHEN PARTY YA KALUNDE FUNDIKIRA ILIYOSISI,MUA JIJI, KALUNDE MDOGO WAKE SUPERSTAR TANZANIAN FOOTBALLER MKUDE JONAS PENDEZA SANA HAPANA CHEZEYA WATOTO WA KINONDONI BRAZIL TISHA SANA, MC ELIZA AFUNIKA KWA UMAKINI WA KUONGOZA SHUGHULI ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

DECOR....////
ZAWADI
 MC ELIZA - NIMEPENDA SANA KAZI YAKO, UKO MAKINI UNAKWENDA NA MUDA VINZURI MAWASILIANO - +255652959676

 MAMA MZAZI AKIINGIA
KALUNDE AKIINGIA NA TEAM YAKE.....
UDI KWA SANA...
 SALA YA KUFNGUA SHUGHULI
 KALUNDE AKITOA INTRODUCTION
KALUNDE NA WIFIYE
WAZAZI WAKIONGEA NA KALUNDE
 CAKE
MAMA NA MWANA
KALUNDE NA SHANGAZI YAKE MUARABU TOKA TABORA
MAMA MZAZI AKIAKBIDHI ZAWADI
MAMA AKISASAMBUA SANDUKU
MASHANGAZI WAKIMTUNZA KALUNDE
FATMA FUNDIKIRA PENDEZA SANA...
MC LEIZA & MWANAIDI WAKIMTUNZA MDOGO WAO FRIDGE MPYAAAA
FUNDIKIRA FAMILY WAKIONGOZWA NA FATMA FUNDIKIRA WAKIMTUNZA MDOGO WAO GAS COOKER
MUKE YA MKUDE JONAS NA TEAM YAKE
KALUNDE NA WIFI YAKE KHADIJA
 KAMATI IKIMTUNZA MAMA
KALUNDE AKIMTUNZA MAMA MZAZI
KISHA AKAMVISHA MADINI 
MAMA NA MWANA
MAMA AKITUNZWA NA WANZAZIBAR......
MC ELIZA AKITUNZWA NA MASHOSTITOZ
TEAM MC ELIZA
CHAKULA
NYUSO
TEAM FULANI HIVI...
LATIFA & NICE & FRIEND
REMINA MKALI WA MANYWELE MIAKA 100... UKO JUU SHOGA YANGU
FRIENDS FOREVER REMINA & PAMELA
HAPANA CHEZEYA TEAM KINONDONI
SHOSTITOS
SELFIE....
MC ELIZA & KALUNDE SISTERZ
LATIFA, CHANDE & FRIEND
BILAL MASH MASH & FREINDS
PAMELA CHACHA..
SELFIE....
 ME & LATIFAPost a Comment

0 Comments