MAULID YA MTUME MOHAMED (SWA) MADRASAT RIDHWAA MAGOMENI!!

MAULID YA MADRASAT RIDHWAA MAGOMENI, MASHAALAH MAULID YAMEFANA, MAWAIDHA MANZURI, HONGERA FATMA NA ASHA JAPOKUWA MPIGA PICHA HAWAKUPIGA PICHA HATA MOJA INSHAALAH MWAKANI ALLAH ATUJAALIE UHAI NA AFYA BORA....


BI MASIKA, BI PILI
 TEAM YA WALIOFANKISHA PICHA HIZI THANK YOU BAHIYA, HELLEN & ZAHRA
BI ESHE SURURU
MIE & MY FRIENDZAHRA


Post a Comment

0 Comments