PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL!!!!

PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL WANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA PRIMARY KUANZIA PRE UNIT, P1 - P5.  MANDHARI YA SHULE NI NZURI NA YENYE UTULIVU, AMBAYO YATAMUWEZESHA MTOTO KUSOMA VINZURI. PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL WANAZO NAFASI ZA BOARDING & DAY, HUU NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMUANDIKISHA MTOTO WAKO SHULE, PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL INAPOKEA WATOTO WA KIKE NA WA KIUME 

MAWASILIANO::- +255654400064 / 255 715 836 237

SCHOOL LOCATION:: KIROMO (KIBAONI) BAGAMOYO, TANZANIA. KIRIMO IS IN BAGAMOYO DISTRICT IN PWANI REGION ABOUT 50KM FROM DAR ES SALAAM AND 8KM FROM BAGAMOYO
 ADMINISTRATION BLOCK
  LIBRARY
 CLASSROOM
MUONEKANO WA DARASA KWA NDANI LENYE VITI VYA WANAFUNZI 35 TU

Post a Comment

0 Comments