AROBAINI (40) YA BABY AARON!!!

NI AROBAINI YA BABY AARON HUKO MAPINGA, MASHAALAH HONGERENI SANA WAZAZI, SHUKRAN KWA WANA WSE (WOMEN SURVIVOR ENTREPRENEURSHIP) KWA KUCHANGAMSHA SHUGHULI MMETUNZAJE SASA....

HENNA MASHAALAH
BABA MZAZI WA AARON
DUA YA KUFUNGUA SHUGHULI
BIBI AKIMTOA MJUKUU NJE APATE DUA...
BABY AARON AKIPATA DUA...///
MAMA NA BABA WAKITOKA NJE & BABY ARON
INTRODUCTION...///
VERO AKIMTAMBULISHA BABA
CAKE
DADDY & SON
BABY AARON
CHAIRWOMEN NAATA MOLLEL AKIPATA CAKE
MDOGO WANGU MWANAIDI PENDEZA SANA NA NYWELE
VERO NI MWENYE UPENDO SANA ALITAMANI KUMLISHA KILA MTU
SISTERZ
BURUDANI
CHAKULA
VERO AKITUNZWA
WSE (WOMEN SURVIVOR ENTREPRENEURSHIP), WANAKIKUNDI WENZAKE VERO WAKIMTUNZA KWA MBWEMBWE NYINGI NA KUJIAMINI
LILLY HILI POZI NI LA BI HARUSI LAKINI LIMEKUJA AUTOMATICALL
NI PESA TU....
HAPA NDIO PAKE NIMEKUONA LILLY
TUMEZIONA CHAIRWOMAN
UTAMBAJE CHAIRWOMAN NAATA MOLLEL
NAATA MOLEL NA DIRA LA MAROON CHAIRWOMAN WA WSE
HAPPY PEOPLE OYEEEEE
WANA WSE GROUP SI WA SPOT SPOT HAWA HATA UKIWA WAPI WANAKUFUTA....
MUWAKILISHI TOKA OFISINI KWA VERO AKIMTUNZA
HAPANA CHEZEYA NI WEKUNDU TU
MAMA MDOGO AKIMTUNZA BINTI YAKE
VERO NA MAMA MDOGO
BABA AARON AKIWASHUKURU MARAFIKI WA VERO HASWA WALE WSE GROUP KWA UCHESHI WAO
BABA NA MAMA ARON WAKITUNZWA
MAAGENT WENZAKE VERO WAKIMTUNZA
JIRANI YAKE VERO AKIMTUNZA
 NYUSO
MUARABU WANGU LILY
SI KWA POZI HILI MWANAIDI
VERO NA MDOGO WAKE....
PENDEZA SANA BESTIE

SHOGA YANGU MATATA SANA
MWANAIDI & FRIEND
NIKIWA NA BAADHI YA WANA WSE (WOMEN SURVIVOR ENTREPRENEURSHIP) SASA MWENYEKITI NAATA MOLEL NA MIMI SIMNIPE UANACHAMA??


Post a Comment

0 Comments