FATMA'S KITCHEN PARTY!!!

Bride                     :: Fatma Ndende
Event                    :: Kitchen Party
Venue                   :: Mrina Hall
Makeup               :: Gng Salon
Color :: Red & Gold
Photosby               :: Mashughulimedia - +255655426100
MASHAALAH FATMA PENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE KWA SANA, ZAWADI ZA UKWEE'E NYUMBA IMEKAMILIKA, SHUGHULI YENYE KAMATI MBILI KIBAHA NA MAGOMENI MKO JUU WAZAZI

DECOR...///
ZAWADI
 MC- MUU KAMA KAWAIDA NA SAUTI YAKO, MALKIA WA NGUVU
MAMA MZAZI AKIINGIA
BIHARUSI FATMA AKIINGIA UKUMBINI
DUA
KAMATI ILIYOFANIKISHA SHUGHULI
INTRODUCTION...
MAMA MDOGO AMINA MENGI MAMA YA MAGOMENI 
CAKE
 CHAMPAGNE 
FATMA AKIFICHULIWA NA KUWAPA ZAWADI WAALIKWA
BURUDANI
RAHA ORIGINAL LIVE BAND
 ZAWADI
 MAMA MZAZI AKIMKABIDHI BINTI YAKE ZAWADI
VYOMBO VYA JIKONI
KITANDA 6X6
KABATI KA NGUO
MAMA MZAZI AKISASAMBUA SANDUKU
SOMO AKIMTUNZA MWARI WAKE VYOMBO VYA JIKONI
ODO MWAMVUA AKIMTUNZA BINTI YAKE WAMAMA MMETISHA
AKIMKABIDHI NEW FRIDGE..
ODO AMINA MENGI AKIENDA KUMTUNZA BINTI YAKE HAPANA CHEZEYA UKO JUUU, DINNING TABLE & CARPET
 PAMBE YA AMINA NDANI YA WHITE & RED
AMINA AKITUNZWA
MAMA NA MWANA MASHAALAH
MASHOSTI WA UKWEE'E WAKIKABIDHI ZAWADI KWA FATMA
SHOSTI WA UKWEE'E AKIMTUNZA DRESSING TABLE
MAMA MZAZI AKITUNZWA
MWAMVUA AKITUNZWA
ULITUNZWAJE SASA...
MAMA AKIMKOSHA SOMO
MWAMVUA AKITUZWA
MWAMVUA AKIMTUNZA AMINA
FATM AKIWATUNZA MAMA ZAKE WADOGO AMINA & MWAMVUA
FATMA AKIMTUNZA MAMA MZAZI
KAMATI ZOTE MBILI ZIKIKABIDHI ZAWADI ZAO GAS COOKER & WASHING MACHINE
MAMA MZAZI AKIWASHUKURU...
NYUSO
AMINA NA SHOGA YAKE MIAKA 100
MWARI NA SOMO
SISTERZ
AMINA NA KAMPANI YAKE MLIWAKA ILE MBAYA
WAPENDANAO...
HAPPY PEOPLE
MWAGUMBO PENDEZA SANA
BESTIE...
FATMA & FREINDS
AMINA & FREINDS
NA KIPENZI CHANGU AMINA MENGI
NIKIWA NA WADOGO ZANGU
I, AMINA & MC MUU
MWAGUMBO NA UDUGU WAKE
BYE BYE FATMAPost a Comment

0 Comments