HALIMA'S NIGHT!!!!

Bride                                      :: Halima S. Abeid
Event                                     :: Halima's Night
Venue                                    :: Lulu Hall
Makeup                                 :: Maaznut Bridal
Mc                                         :: Ben Kinyaiya
Live                                       :: Raha Original
Color                                     :: Royal Blue & Gold 
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
WOOOH MY BEAUTIFUL GIRL HALIMA PENDEZA SANA SANA NDANI YA USIKU WAKO, HONGERA DADA YANGU KIPENZI MUHAZA....

HALIMA & SWEET MAMA...
DECOR....
ZAWADI
CAKE
WAKWE WAKIINGIA
 HAPANA CHEZEYA ORGANISER AMIDA TARUMBETA ZIWEPO
HALIMA AKIINGIA
MAMA MZAZI MUHAZA SHANGWE KWA SANA...
DUA...
CHAMPAGNE
 HALIMA AKIKATA NDAFU
SELFIE....
 LAZIMA UMTUNZE ANATISHA SANA
DELPHEE MULUNGU MUIMBAJI AKIMSINDIKIZA HALIMA KUMSAKA MCHUMBA
HALIMA NA MCHUMBA ISMAN
ISMAN
 CHAKULA
ZAWADI
HAWA, MAMA MKUBWA AKIMTUNZA BINTI YAKE NEW FRIDGE...
BISHARA SOMO YAKE HALIMA NA DADA YAKE AKITUNZA SOFA SET UMETISHA SANA...
SOMO NA PAMBE YAKE
MWARI NA SOMO
BISHARA NA MWANAMIMI WIFI YAKE HALIMA WAKITUNZA GAS COOKER
TOTITO AKITUNZA MICROWAVE
HUSNA MASHAALAH!!
FAMILIA YA MKINDI WAKIMTUNZA HALIMA
HAPANA CHEZEYA HAMIDA AKIMTUNZA MDOGO WAKE NA BENBATI

HAMIDA AKIMPA 
MAMA AKIMPA MSWALA....
KAPU LA MAMA...
MAMA AKITUNZWA
NYUSO
HALIMA & BROTHERZ
 KHALID, KAKA KWA FURAHA AKAAMUA KUBEBA KABISA
 HAWA & HAJARY
 PACHANGA, MAMA SHILAWADU
 HAJARY & SOPHIA
 SOPHIA & HALIMA
 TALHA & HUSBAND 
 MAJDI & MOHAMED
 HAWA, HAJARY & TALHA
 HAPPY PEOPLE
 HALIMA & ASHA
 ASHA & HUSBAND
 MAJDI KIHAGO
 MOHAMED AKIDA
 MAYASA & HUSBAND
 ME, MARIAM & SOPHIA KIHAGO
MUHAZA NA BINTI YAKE KIPENZI HALIMA

MABINTI YA BISHARA KIHAGO MASHAALAH
HALIMA KITANDULA NA WATOTO WAKE.....
HALIMA & KAKA ZAKE......
SOMO BISHARA
BYE BYE HALIMA KILA KHERI....

Post a Comment

0 Comments