KHADIJA MWANAMBOKA AZINDUA VVK ACCESSORIES, APATA HESHIMA YA BALOZI WA SENSE INTERNATIONAL

FASHION DESIGNER KHADIJA MWANAMBOKA AZINDUA BIDHAA MPYA VVK ACCESSORIES KATIKA LABEL YAKE VVK (VITU VYA KHADIJA) SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 8TH MARCH 2017 SEACLIFF HOTEL, VVK ACCESSORIES ZITAPATIKANA  KWA MAUZO SHOP255 APPLICATION INAYOPATIKANA (GOOGLE PLAY STORE) 
SENSE INTERNATIONAL NON GOVERNMENTALORGANISATION LINAWASAIDIA WATOTO VIPOFU NA VIZIWI WAMTUNUKU HESHIMA YA UBALOZI. KHADIJA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE KUSHEREKEA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI (BAADHI YA PICHA KWA HISANI YA OTHUMAN MICHUZI)

 KHADIJA AKIZINDUA VVK ACCESSORIES 
 CARD YA MANUNUZI ONLINE
 COUNTRY MANAGER SENSE INTERNATIONAL AKIONGEA KUHUSU WATOTO VIZIWI NA VIPOFU
TUKIPEWA MFANO WA KUTOSIKIA NA KUONA
 VVK ACCESSORIES
RED CARPET
 FIDELINE & KHADIJA
KHADIJA & LULU
SHAMIM & KHADIJA
ASHURA SAPI, KHADIJA & FRIEND
KHADIJA & MIRIAM ODEMBA
NANCY SUMARI, KHADIJA & SARAH RAQEY
HALIMA KAMUSI, KHADIJA & HELLEN
 HELLEN & KHADIJA
 IRENE KIWIA & KHADIJA MWANAMBOKA

Post a Comment

0 Comments