AHMED & RADHIA AQDI!!!!

Groom                                    :: Ahmed
Bride                                       :: Radhia
Event                                      :: Muslim Wedding (aqdi)
Venue                                     :: Morogoro Bride's Resident
Color                                       :: Gold & Aqua Green 
Makeup                                   :: Beauty Temple Tz 
Photographed by                    :: Mashughulimedia - +255655426100
AFTER A GORGEOUS BRIDE RADHIA PRE-WEDDING TODAY,  WE PRESENT YOU AHMED & RADHIA MUSLIM WEDDING (AQDI) MASHAALAH BRIDE STYLE OUTFIT IN THE CLASSY COLOR GREEN AQUA, HAIR WAS STYLED SIMPLE & MAKEUP BY THE BEAUTY TEMPLE TZ. CONGRATS TO AMAZING COUPLE KUONA ZAIDI BONYEZA READMORE...

CONGRATS TO THE COUPLE
PRETTY BRIDE RADHIA
RADHIA, MAMA & FATHIYA
WAZAZI NA MAHARUSI
SISTERZ
SOMO NA MWARI.....
DECOR....
 WAKWE WAKINGIA .......
 NDOA IKIFUNGWA....
SHEIKH AKICHUKUA IDHINI YA NDOA TOKA KWA BI HARUSI
  BWANA HARUSI AKIPONGEZWA....
BABA MKWE AKIMPONGEZA AHMED
 BAADA YA NDOA KUFUNGWA MAMA MZAZI NA FATHIYA DADA WAKIPONGEZWA
BI HARUSI AKIPEWA MKONO WA KWANZA NA MUME WAKE
SOMO NA MAHARUSI
 RADHIA AKITOLEWA NJE.......
 FATHIYA SISTERZ FOREVER....
HENNA MASHAALAH...
 RADHIA & AHMED WAKIVISHA PETE....
NYUSO ZENYE FURAHA....
WIFI NA PAMBE YA SARE....
WAKIWA NA MDOGO WAO..
THANK U MC WANGU....KIPAJI KIKO
CHAKULA

BURUDANI.....
 WAKWE WAKIKABIDHI SANDUKU....
 NYUSO
FATHIYA DADA YAKE RADHIA, BEAUTIFUL YOU
MASHAALAH MAMA MZAA MCHEMA
HONEY'S FASHION....
HONGERA AHMED
NILIFURAHI SANA BWANA HARUSI AHMED NI MTOTO WA MAREHEMU ZAHRA, TULIISHI WOTE KALOLENI ARUSHA NA HUYU NI DADA WA BW. HARUSI KWELI MILIMA HAIKUTANI LKN BINADAMU TUNAKUTANA....
BYE BYE MY RADHIA ALL THE BEST IN YOUR NEW LIFE

Post a Comment

0 Comments