MWAJUMA'S KITCHEN PARTY

Bride                                      :: Mwajuma Adam Moenda
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Police Officers Mess - Oysterbay
Makeup                                 :: Glambox
MC                                         :: Jamila Kitimtim
Color                                      :: Peach & Gold
Caterer                                  :: Mariam Twahir
Outfitby                                :: Zaidi Africa
Decor                                     :: Princess Latifa
Photosby                               :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO MWAJUMA, MASHAALAH SHUGHULI PAMBE KWA SANA, MASOMO WA UKWE'EE WATISHA, MAMA NA MWANA APEANA ZAWADI ZA MADINI ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

SO NICE
BEAUTIFUL SMILE
MAMA NA MWANA PENDEZA SANA
@GLAMBOX 
DECOR.......///
ZAWADI
MC JAMILA KITIMTIM NUMBER ONE...
MAMA MZAZI AKIINGIA 
SOMO AKIINGIA
BIHARUSI AKIINGIA MASHAALAH
DUA...
KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI
MWARI AKIFICHULIWA
INTRO...
MWAJUMA AKIKATA CAKE
CHAMPAGNE
SUPERSTAR NYOTA AKIIMBA LIVE....SOMO NA MWARI KAGARAUKE NENDA..
ZAWADI
 MAMA AKIENDA KUMPA BINTI YAKE ZAWADI
MAMA AKIMKABIDHI MWAJUMA KITANDA
AKAMKABIDHI SANDUKU
 MAMA AKAMWAMBIA MWAJUMA BADO MWANANGU
 MWAJUMA AKIMVISHA MAMA MADINI 
MAMA AKITUNZWA
MAMA AKITUNZWA
MWARI AKIENDA KWA SOMO
WAFANYAKAZI WENZAKE BIHARUSI TOKA NSSF WAKIMTUNZA MWAJUMA
SOMO AKIMTUNZA MWARI WAKE KABATI LA VYOMBO
MWARI NA SOMO
MAMA AKIMTUNZA SOMO
NYOTA NA MASOMO WAKITUNZA DRESSING TABLE
SOMO NA PAMBE YAKE WAKITUNZA VYOMBO

MWARI AKIMTUNZA SOMO YAKE
MWAJUMA AKIWAPA ZAWADI WAZAZI
CHAKULA BY MARIAM TWAHIR - 0715830030
NYUSO
MATOO NYOTA
HIDAYA MCHOLWELA & FRIENDS
IPI NZURI FORMER MISS TANZANIA NARGIS
MAMA MZAZZ CHEMA
SELFIE MUHIMU...
MIE NA BIHARUSI WANGU
MAMA MZAZI & SALMA KESSY
MC JAMILA & KHADIJA
SOMO AL MAARUF SUPERSTAR NYOTA NA WARI WAKE MASHAALAH
SAADA & SHOSTITO
SALMA KESSY, MAMA MZAZI & NYOTA ABDALLAH
PENDEZA SANA MASOMO A UKWEE'E MIAKA 100
PAMBE YA SOMO NA MAMIE MWARI
Post a Comment

0 Comments