MUNIRA'S KITCHEN PARTY!!!

Groom                        ::Munira
Event                          ::Kitchen Party
Venue                         ::Officers Messy Osterybay 
Color                           :: White,Pink, Blue & Red
Cake                           :: Oshin Cake - 0716248789
Decor                          :: Dsmoccation - 0773336805
Dressedby                  :: Iamkiarasheba - 0718730860 
Caterer                       :: Uncle Kassim - 0712968659       
Photographed by           ::Mashughulimedia - +255655426100
MASHAALAH MUNIRA PENDEZA SANA BABY GIRL, HII NDIO GUMZO LA JIJI KWA WEEK HII SHEREHE YA UKWEE'E WAALIKWA WAENDA NA MUDA KILA KITU ON TIME DECORATION IMEBADILI OFFICERS MESSY KUWA TOFAUTI, HONGERA DSMOCCASION KWA KAZI NZURI, CHAKULA WAS DELICIOUS KUANZIA LUNCH MPAKA DINNER UNCLE KASSIM, MAKEUP BY LAVIEMAKEUP FANTASTIC, KAZI NZURI YA MC COLUMBA SAA 3 TULIMALIZA SHUGHULI

STUNNING
BEAUTIFUL BRIDE
 HAPPY BRIDE TO BE
TRUE FRIENDS
 MAMA NA MWANA LOVELY
 ODO REHEMA & BINTI YAKE
 MZAA CHEMA
DECOR....////
 CAKE
LIVE BAND RAHA LEO ORIGINAL
MC COLUMBA MAMA YA UKWEE'E
WAALIKWA PAMBE WAKIINGIA UKUMBINI

MAMA MZAZI AKIINGIA
MUNIRA AKIINGIA
 KAMATI WAKIINGIA WAKIONGOZWA NA ODO REHEMA CHONDE
 DUA BY HAJAAT JAMILA 
 MAMA MDOGO REHEMA CHONDE MWENYEKITI WA KAMATI
 MWARI AKIFICHULIWA......
MAMA AKIMFICHUA BINTI YAKE KAKUA MAMA..
 BABY GIRL MUNIRA AKIKATA CAKE
 MAMA NA MWANA MASHAALAH
 CHAMPAGNE
 INTRODUCTION
 CHAKULA CHA MCHANA BY UNCLE KASSIM WANGU......
WADOGO ZAKE MUNIRA WAKIINGIA NA ZAWADI
 MCHUMBA MASHAALAH MUNIRA UMECHAGUAJE...
KAKA YAKE MUNIRA WAKIMPA ZAWADI
OOOH MY GOD.......
 MUNIRA AKIINGIA NA MCHUMBA WAKE KWA NGUO YA PILI MASHAALAH
 DINNER BARBERQUE & SNACKS UNCLE KASSIM
MUNIRA AKITUNZWA ZAWADI ZAKE
MUNIRA AKIMKOSHA MAMA MZAZI
MASANDUKU YA MUNIRA UMEONA YALISASAMBULIWA KIDUCHU TU
OOOH M GOD UMEONA HIYO SET SHIKAMOO ROSE MASIKA & FREINDS
WAFANYAKAZI TOKA RITA WAKIMTUNZA MAMA MZAZI MFANYAKAZI MWENZAO
SOMO AKIMTUNZA MAMA
SOMO AKITUNZWA...
SISTERZ, WAKITUNZANA.... MASHAALAH
REHEMA AKAMWAMBIA DADA YAKE MIE BADO NDIO KWAANZA NAANZA MADINI...
JACK & JUDY WAKIMTUNZA MUNIRA MADINI
UNATAMBAJE SASA
HAPANA CHEZEYA JACK & JUDY WAKIMVISHA MADINI
ODO REHEMA AKITUNZA JACK, YOU ARE SO LUCKY 
MAMA MZAZI AKIMTUNZA JACK......SHE IS EVERYTHING
NIKIWATUNZA WADOGO ZANGU JACK & JUDY 
MMECHEKELIAJE MSIMBAZI ZANGU
ROSE & FRIENDS WAKIMTUNZA MAMA
MUNIRA AKIMTUNZA MAMA MZAZI BRACELET I CAN SEE TANZANITE....
BEAUTIFUL  MAMA & MWANA
WAFANYAKAZI TOKA RITA WAKIMTUNZA MAMA MZAZI MFANYAKAZI MWENZAO
WIFIS WAKITUNZA
ODO AKITUNZWA...
WAFANYAKAZI WENZAKE MAMA MDOGO REHEMA CHONDE WAKIMTUNZA
MUNIRA AKIWAPA ZAWADI RAFIKI ZAKE... SHE IS GOOD GIRL
WAZAZI WAKIONGEA NA KUSHUKURU WAGENI WAALIKWA
NYUSO
BEAUTIFUL MASHAALAH 
BOSSLADY LILIAN KARAMUNA
I LOVE YOU DO YOU THAT... JACK & JUDY "JJ"
SO NICE
MAMA NA BINTI ZAKE
MAMA & ROSE'S FREINDS
UMMY & FRIENDS
WITH MY FRIENDS....
MC RANGI HADIMU UKO JUUUU
MIE NAOMBA MACHO TU...
JUDY & JACK
SELFIE...
RED CARPET
 FOR RED CARPET KAMA HILI TUPIGIE 0655426100
BYE BYE MUNIRA INSHAALAH KWENYE AQDI FRIDAY
YEES VIOO NDIO GIVEAWAY GIFT....Post a Comment

0 Comments