HASHIM & PENDO WEDDING LUNCH!!!!

Groom                       :: Hashim Baraka Mohamed (Chimu)
Bride                         :: Pendo Abdallah
Event                         :: Muslim Wedding (aqdi)
Venue                        :: Vijana Hall
Color                         :: Gold, Blue & Yellow
Caterer                       :: Mariam Twahir
Entertainment               :: Konga Moyo Taarab Live Band
Photographed by            :: Mashughulimedia - +255655426100
MASHAALA PENDEZA SANA CHIMU & PENDO, HONGERA SANA DADA KIPENZI SHARIFFA HASHIM KWA KUKAMILISHA SHUGHULI YA WANAO, PENDO PENDEZA SANA KAZI NZURI DESIGNER BAHIYA LUMELEZI. BONYEZA KUONA PICHA ZAIDI

FAMILY
DECOR.....///
 MC DALILAH JAGGARI
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKIINGIA
 BWANA HARUSI CHIMU AKIINGIA
CHIMU AKIMPOKEA MKEWE PENDO 
 DUA....
 CHIMU & PENDO WAKIKATA CAKE
CHAKULA
 BURUDANI
ZAWADI
 MAMA MZAZI AKIWATUNZA MAHARUSI
 CHIMU & PENDO WAKIWATUNZA WAZAZI
 MAYMUNER AKIMTUNZA DADA YAKE SHARIFA HASHIMU
 NYOTA & SALMA WAKIWATUNZA MAMA MZAZI & SALAMA KINGUI
 MARIAM MKWECHE AKIMTUNZA WIFI YAKE KIPENZI SHARIFFA HASHIM UMETISHA
 SALAMA KINGUI AKIMTUNZA UDUGU WAKE SHARIFFA HASHIM
 KHADIJA KUSI AKIMTUNZA MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI
 DADA WAKICHEZA NA KAKA YAO
 HALIMA HASANOO AKIMTUNZA WIFI YAKE
 KAMATI IKIKABIDHI PESA TASLIM MILIONI MOJA
  MARIAM MASLAY
 DADA AKIMTUNZA MDOGO WAKE
BWANA HARUSI AKITUNZWA
 BABA AKITUNZWA...
 NURU MWENE AKIMTUNZA SHARIFA HASHIM TISHA DADA YANGU...
NYUSO
MAYMUNER BAYU, SALAMA KINGUI, NYOTA & SALMA KESSY
ARAFA TAMBA & FRIENDS
ROSE MBAGA... PENDEZA
WAPENDANAO SHARIFFA & SALAMA KINGUI
HALIMA KAMUSI & I
ALLY, MAHMOOD, JEFF & JAMAL
MIE NA WADOGO ZANGU
SHARIFA HASHIM & REHEMA
ODO MWAJEY...
NYOTA & SALMA
FADYA
FAMILY
NASREEN, PENDO & FADYA

Post a Comment

0 Comments