SALIM & FARIDA AQDI DAY!!!!

MASHAALAH PENDEZA SANA, HII NI SIKU MUHIMU SANA, HONGERA ZUHURA KIZUA MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI SHUGHULI PAMBE SANA BONYEZA KUONA ZAIDI

NICE COUPLE MASHAALAH

HAPPY MOMENTS 
BI HARUSI MASHAALAH
WAZAZI NA MAHARUSI
SALAMA KIZUA NA WIFIE FARIDA
BROTHERZ
DADA SALAMA KIZUA NA MAHARUSI
ZUHURA KIZUA NA MKWEWE
NDOA IKIFUNGWA MASJID MANYEMA...
 BARKA
 DECOR.... AL HILAL
BIHARUSI AKIINGIA UKUMBINI
FARIDA AKIMSUBIRI MUME BAADA YA NDOA
 SALIM AKIMPA MKONO MKEWE
WAZAZI PENDEZA SANA
MARIAM MNYIKA NA MAHARUSI
MASHAALAH MAMA WA BWANA HARUSI ZUHURA KIZUA PENDEZA SANA
CUTE MASHAALAH
SALIM NA MAMA MKWE
JAMANI PICHA ZA KUMBUKUMBU KWA AJILI YA MAHARUSI ZIHESHIMWE, SASA HUYO BINTI MPAKA HAPO MBELE UNAJISELFIE???? SISI TUNAPIGA PICHA KWA AJILI YA ALBAM...
 BYE  BYE SALIM & FARIDA SEE YOU TO THE WEDDING RECEPTION

Post a Comment

0 Comments