FARIDA & ZAILAI AQDI!!!

YES WADAU WANGU NIKIWA NAMALIZIA SHEREHE YA FARIDA KUELEKEA NDOANI BASI LEO NAWALETEA AQDI YAKE MASHAALAH MMEPENDEZA SANA MAHARUSI, HONGERA KWAKO BWANA HARUSI NAJUA UTAFURAHI KWA TABASAMU LA MKEO, PERFECT MAKEUP BY SHUU SALON

 LOVELY COUPLE
 HAPPIEST BRIDE
BEAUTIFUL...
SHE IS HAPPY
 MAKEUP BY SHUU SALON
FAMILIA
 MAMA NA MWANA
DECOR...///
 MC CHUMVI AKIFANYA YAKE......
WAZAZI WAKIINGIA....
MAMA MZAZI BI KHADIJA AKIINGIA...
 WAKWE WAKIINGIA
 BI HARUSI AKIINGIA
BI HARUSI AKIRUSHA ROHO WAKATI WA KUINGIA
WANA ROHO ZA KOROSHO EEEH BINADAMU 
 BWANA HARUSI AKIINGIA
FARIDA AKIMPOKEA MUME WAKE
 DUA....
 UTAMBULISHO WA FAMILIA
 MASHA BESTIE NAKUONA
 MAHARUSI WAKIPEWA NASAHA...
 MC CHUMVI AKIONGEA NA MAHARUSI
 MAHARUSI WAKITUELEZA WAPI WALIONANA MPAKA WAKAAMUA KUFUNGA NDOA
MKONO WA HONGERA KWA MAHARUSI
 CHAKULA
 MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA BI KHADIJA LWAMBO
MC CHUMVI & FARIDA
SISTERZ
MASHAALAH MAMA NA BINTI ZAKE
I & FARIDA
MAMA NA MWANA
 QUEEN AISHA
FARIDA AKIMSHUKURU MAMA MZAZI BI KHADIJA
HUYU MAMA NI MALKIA WANGU WA NGUVU, MWANAMKE MPAMBANAJI..
 BYE BYE MAHARUSI


Post a Comment

0 Comments