MARIAM USIKU WA ZAWADI!!!!!!

Bride                                      :: Mariam Manyanya Diiro
Event                                     :: Usiku wa Zawadi
Venue                                    :: Msasani Tower
Makeup                                 :: Glossy Beauty Parlor
Color                                      :: Black & White
Decor                                     :: Mama Gao Decor
Caterer                                  :: Talma Caterer 
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
 WELLCOME BACK WADAU, LEO TUNASHEREKEA USIKU WA ZAWADI WA MARIAM, BI HARUSI YOU KILL IT, 1ST DRESS & 2ND DRESS, PERFECT MAKEUP BY GLOSSY BEAUTY PARLOR, MARIAM KAPATA ZAWADI ZA UKWEE'E KAMA NI NYUMBA IMEKAMILIKA, LIVE BAND YA KING KIKI & RAHA ORIGINAL ZAWABURIDISHA VYEMA WAALIKWA, MAMA MZAZI MWANAASHA KATUNZWAJE... ZAMA NDANI KUONA ZAIDI.....


 LOVELY!!!
 GORGEOUS MARIAM
 PRETTY BRIDE!!!
DECOR......///
 CAKE
ZAWADI ZA UKWEE'E NYUMBA IMEKAMILIKA
MC JAMILA KITIMTIM KAZINI
WAZAZI WAKIINGIA
 MARIAM AKIINGIA....
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE....
BEAUTIFUL BRIDE....
 DUA....
 WAZAZI WAKIKARIBISHA WAGENI
 MARIAM AKIFICHULIWA
 KING KIKI AKIIMBA LIVE KITAMBARA CHEUPE
 MZEE KING KIKI AKIMPONGEZA BI HARUSI
MARIAM AKITOA INTRODUCTION...
MARIAM AKIWATAMBULISHA BABA NA MAMA
 CHAMPAGNE....
 BURUDANI
 BABA MZAZI AKITOA BURUDANI NA BENDI YAKE KWENYE HARUSI YA BINTI YAKE
 RAHA ORIGINAL TAARAB LIVE BAND
MAMA MZAZI MWANAASHA AKIMTUNZA MUME WAKE

 MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI KWA BINTI YAKE 
MAMA MWANAASHA AKIKABIDHI WHITE BEDROOM SET KITANDA, KABATI LA NGUO & DRESSING TABLE
MAMA AKIKABIDHI SOFA SET
 MAMA AKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
 MAMA MZAZI AKIKABIDHI HATI YA KIWANJA
MAMA NA MWANA MASHAALAH
FAMILY
MARIAM MALARIA NI ADUI WA AFYA MOSQUITO NET YA UKWEE'E
 DADA YAKE BIHARUSI FATMA PAMBA AKIMKABIDHI MDOGO WAKE DINNING TABLE
 SOMO AKIKABIDHI ZAWADI
SUBIRA GROUP WAKIMTUNZA BIHARUSI KHANGA
SUBIRA GROUP WAKIMTUNZA MAMA MZAZI

WAKWE TOKA UGANDA WAKIPELEKA ZAWADI
MWANANA MANZI AKITUNZA
SOMO AKITUNZWA....
 MARIAM AKIINGIA NA NGUO YA PILI
MARIAM AKIMCHUKUA MUME WAKE
MARIAM AKIMTAMBULISHA MUME WAKE
 MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
 MARIAM & HUSBAND
 CHAKULA BY TALMA CATERER 
MARIAM AKIMTUNZA MAMA MZAZI
MAMA NA MWANA
 NYUSO
BIHARUSI WANGU WITH WHITE DRESS & FRIEND
NICE SELFIE
HAJAAT RAHMA KISMAT
FATMA NDUNYI
DOTTO OMARY & MAMA MZAA CHEMA
SALAMA KINGUI & SHARIFFA HASHIM MIAKA 800...
HALUA & BESTIE
MC JAMILA & PILI PASCAL
HAJAAT SHARIFFA & FRIEND
NIMEFURAHI KUKUJUA MAMA (THE QUEEN OF FABRICS)
HUSNA WAZIRI, HUSNA MADOHORA & FRIEND
TWAHIBA & ZUHURA (RAISI WA VIJORA)
MAMA IYA & FREINDS
MIZE
SHUMU, JOKHA & JOKHA
SUBIRA GROUP JNR
BESTIE HAPPY BAGHDELA
MC JAMILA & MAMA MZAZI
ZUHURA, FATMA & FREIND
SHARIFA & REHEMA
TWAIBA
SALMA
BYE BYE!!


Post a Comment

0 Comments