NAILAH'S KITCHEN PARTY!!!

Bride                                      :: Nailah Mgaya
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: City Hall
Makeup                                 :: RoseB Salon
Color                                      :: Royal Blue & Red
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
MASHAALAH PENDEZA SANA NAILAH, YES NI KITCHEN PARTY YAKE, SHUGHULI ON POINT HONGERENI WAZAZI MAMBO PAMBE KWA SANA, RAHA ORIGINAL LIBE TAARAB BAND WATOA BURUDANI YA KUTOSHA, SARE IMEPENDEZA SANA... BONYEZA KUONA ZAIDI

STUNNING....
BEAUTIFUL NAILAH
MAMA NA MWANA MASHAALAH!!!
WAZAZI NA BINTI YAO
DECOR....///
MC
MAMA MZAZI AKIINGIA...
SIKU YA BINTI YAKO.... TAMBA MAMA MZAZI
NAILAH AKIINGIA UKUMBINI....
SHE HAPPY....
MWARI AKIFICHULIWA...
ALHANISA AKIMFICHUA MWARI
DALILA JAGGAR.....
HAPPY MAMA MZAZI....
DUA.....
AMINA....
KAMATI...
MWENYEKITI WA KAMATI REHEMA AKIKARIBISHA WAGENI
MAMA MZAZI AKIONGEA NA BINTI YAKE
NAILAT AKIPATA MANENO MACHACHE TOKA KWA WAZAZI
NAILAT AKITOA INTRODUCTION YA FAMILIA
AKIMTAMBULISHA MAMA MZAZI
CHAMPAGNE
CHEERS & MAMA MZAZI LOVELY
REHEMA
MAYMUNER BAYU
SHARIFFA HASHIM
HAJAAT SHARIFFA
NAILAH AKIMLISHA MAMA MZAZI
CHAKULA
RAHA ORIGINAL TAARAB LIVE BAND
MAMA MZAZI DOTTO AKIPELEKA ZAWADI YA BINTI YAKE SET YA DHAHABU MASHAALAH!!!
MAMA AKIKABIDHI ZAWADI... 
NAILAH AKASHINDWA KUZUIA FURAHA..
MAMA NA MWANA MASHAALAH, HONGERA SANA SHOSTI WANGU DOTTO
SHANGAZI WAKIMTUNZA BINTI YAO
NAILAH AKIKOSHWA NA DADA ZAKE...
BIBI TOKA BAGAMOYO WAKIMTUNZA MJUKUU WAO
SOMO AKIMPA VYOMBO VYA JIKONI MWARI WAKE, ANASEMA VIMEKAMILIKA...
SOMO AKIONGEZA YA ZIADA
MAMA MZAZI AKITUNZWA
MASHAALAH NAILAH AKITUNZWA NA DADA ZAKE
SHOSTI AKIMKOSHA NAILAH KWA DOLLAR
WIFI WAKIMTUNZA WIFI YAO
WAZAZI WAKITUNZWA...
HAJAAT SHARIFA AKIWATUNZA WAZAZI..
MWANAASHA AKIMTUNZA MAMA MZAZI DOTTO
MAMA MZAZI AKITUNZWA..
 NYUSO
MAMA MKUBWA REHEMA & BINTI YAKE...
HUSNA MADOHORA & FRIENDS
BEST FRIENDS FOREVER FATMA JANGUA & MH. MARIAM MTEMVU
SISTERZ FOREVER DOTTO MAGANGA & FATMA JANGUO
 BEAUTIFUL YOU JASMINEAFUA
SELFIE...
JOKHA KABOTOKA
SISTERZ PENDEZA SANA MASHAALAH
 BEAUTIFUL GIRLS
MARIAM MKWECHE
FATMA JANGUA NA MAMA YAKE... MAMA KIJACHO
NATURALISTA HAIR STYLE
MWANAASHA....
WAZAZI REHEMA & DOTTO WAKIWA NA BINTI YAO MASHAALAH
 MH MARIAM MTEMVU
JASMINEAFUA & FRIENDS
MAMA FATMA JANGUA PENDEZA SANA
SALAMA KINGUI & FRIEND
KHADIJA KUSI
MASHAALAH
WAZAZI NA BINTI ZAO..
NAILAH & FRIENDS
MWANAISHA MASANGA, MAMA MZAZI & BRIDE
NAILAH NA WAKWE ZAKE
FATMA JANGUO
DOTTO MAGANGA
BIHARUSI WANGU MAMA KIJACHO
SOMO NA MWARI...

Post a Comment

0 Comments