NURU'S KITCHEN PARTY!!!

Bride                                      :: Nuru Mustafah
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: NHC House
Makeup                                 :: Partnerswedding
Color                                     :: Red & Gold
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI  KITCHEN PARTY YA NURU MMMH SIJUI NIANZIE WAPI?, NURU PENDEZA SANA MASHAALAH, WANAKAMATI MMEJUA KUJIVISHA, DECORATION YA UKUMBI NI KIWANGO CHA JUU KABISA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI..

PRETTY!!!
AMAZING!!!
JOYFUL BRIDE TO BE
BEAUTIFUL....
SLAYED!!
THIS IS WONDERFUL KAMATI NIMEIKUBALI PENDEZA SANA
DECOR.....///
 MC GEAHHABIB MAMA LA VIP, UMETISHA...
WAZAZI WAKIINGIA...
 NURU AKIINGIA NA MAIDS WAKE...
MWENYEKITI WA KAMATI ASIA AKIKARIBISHA WAGENI....
 DUA....///
 NURU AKITAMBULISHA FAMILIA
NURU AKIPATA MACHACHE TOKA KWA FAMILIA....
 CHAMPAGNE...
 CAKE...
MWENYEKITI WA KAMATI AKIPOKEA CAKE....
KAMATI OYEEEEE
 CHAKULA
 NURU AKIPONGEZWA...
 WAKWE NA MAWIFI WAKIKABIDHI SANDUKU...
 WAFANYAKAZI WENZAKE TOKA PARTNERS WEDDING WAKIMPA NURU ZAWADI
 NAMUONA BIHARUSI WANGU RABIA WITH WHITE JUMPSUIT
 NURU & BOSSLADY PARTNERSWEDDING
 SOMO AKIKABIDHI SANDUKU NA KAMPANI YAKE
 ASIA DADA YAKE NURU AKIONGEA...
 SOMO AKIONGEA
 SELFIE NA BIHARUSI WAO
NYUSO
BEAUTIFUL 
ME & MY GIRL
LOVELY...
 SISTERZ...
MMENOGA SANA....
I & MY GIRL..
DANGOTESDOUTA
MASHAALAH!!!!
ASIA PENDEZA SANA
BYE BYE NURU KILA KHERI JIRANI YANGU...

Post a Comment

0 Comments