SAADA'S NIGHT!!!!

YAP NI SHUGHULI YA SOMO KWA MWARI WAKE BAADA YA MAFUNDO, MAALUM KWA KUMPA ZAWADI ZA SOMO, MASHAALAH SOMO UMETISHA ZAWADI ZA UKWEE'E, ZANZIBAR STAR LIVE BAND NA KIBAO KATA NDANI YA NYUMBA, WATU WAMEKULA BALAA... SARA UMEYAWEZA SHOSTI WANGU...

MWARI NA SOMO PAMBE SANA
SARA & AMINA WAKIWA NA MWARI WAO MASHAALAH
DECOR....///
ZAWADI ZA SOMO KWA MWARI WAKE
MC MUU HAPA KAZI TU....
SOMO AKIINGIA.... MASHAALAH PENDEZA SANA
PAMBE YA SOMO WAKIMUUNGIZA MWARI...
SARA NA SHOSTI WAKE WA UKWEE'E MIAKA 800
 MWARI AKIFICHULIWA
NZAZIBAR STAR LIVE BAND
KIBAO KATA LIVE
MWARI AKITUONYESHA ALIVYOKAMILIKA KILA IDARA...
 SAADA AKIKABIDHIWA ZAWADI NA SOMO, VYOMBO VYA JIKONI VILIVYOTIMIA NA VYA UKWEE'E SOMO UMEYAWEZA SANA...
SOMO KATAMBAJE....
MC MUU AKIMTUNZA SOMO
AMINA AKIMTUNZA SARA
NYUSO
SELFIE
SARA & SHUU 
LOVELY...
SOMO WA UKWEE'E PENDEZA SANA
MC MUU & SARA
LILLY KESSY
SOMO PAMBE
SARA & SHUU MAKEUP ARTIST
AMINA MENGI & FETTY LUQMAN MAKEUP ARTIST
AMINA AKITOA SHUKRAN KWA NIABA YA SHOSTI WAKE SOMO SARA
SOMO NA MWARI BYE BYE....

Post a Comment

0 Comments