MOHAMED & NAILAH AQDI!!!

Groom                                   :: Mohamed Khamis Makumbi
Bride                                      :: Nailah J. Mgaya
Event                                     :: Muslim Wedding
Venue                                    :: Danken Hall
Makeup                                 :: RoseB Salon
Color                                      :: Gold & Green
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
SO LOVING COUPLE MOHAMED & NAILAH, NEW COUPLE IN TOWN, TUKIWA NDIO TWAHITIMISHA NDOA YA NAILAH & MOHAMED, HAKIKA MAHARUSI MMPENDEZA SANA, SHEREHE ILIFANA NAPENDA KUTOA PONGEZI ZETU KWA KAMATI NIMEPENDA MPANGILIO WA SHUGHULI MASHAALAH....

 LOVING COUPLE MASHAALAH
 CONGRATS TO COUPLE MR & MRS MAKAMBI
 AIN'T ADORABLE MAKEUP & GELE BY ROSEB SALON
 PRETTY MUCH BRIDE....
 MAY ALLAH PROTECT YOU 
 ABSOLUTELY BEAUTIFUL
 SO LOVELY!!!!
 SO BEAUTIFUL NAILAH
 HENNNA MASHAALAH
 THIS IS LOVELY
MAMA NA WATOTO WAKE..
BRIDE & HER MUM LOOKING LIKE FRIENDS!!!
MAMA NA MKWEWE
NEW FAMILY
 NAILAH & MAMA MKWE
DECOR.....///
MH. DOTTO MAGANGA AKIENDESHA SHEREHE...UMEWEZA MY DADA
 RAHA ORIGINAL LIVE BAND
NDOA IKIFUNGWA... MASJID MWINYI MIKOCHENI
BWANA HARUSI AKIMPA MKEWE MKONO...
 MOHAMED & NAILAH WAKISAINI VYETI VYA NDOA
 MAHARUSI WAKIINGIA PAMOJA... HII NIMEIPENDA SANA KWA SABABU TAYARI NI MKE NA MUME NI VINZURI WAKIINGIA PAMOJA KULIKO MMOJA MMOJA HONGERA KAMATI
DOTTO MAGANGA, MH. MARIAM MTEMVU & FATMA JANGUO
 MAULID...
MARIAM DEDES AKISOMA DUA..
  MSHENGA AKIKABIDHI VYETI VYA NDOA
USTAADHI AKISOMA SHAIRI NZURI KWA MAHARUSI 
WAZAZI WAKITUNZA
 HONGERA KWA MOHAMED & NAILAH PAMOJA NA PICHA
MAMA NA WATOTO WAO MASHAALAH
SISTERS REHEMA KESSY, DOTTO MGAYA & FATMA JANGUO
MADADA & MAHARUSI
HONGERA SOMO MWARI KAWIVA....
SOMO NA PAMBE YAKE....
WAZAZI....
MOHAMED & BABA MZAZI
 CHAKULA-MENU YA DANKEN YA UKWEE'E
 ZAWADI 
MASOMO WAKIKABIDHI SANDUKU LA SOMO MKUU MAMA SALMA KIKWETE
 MAMA AKITUNZWA
 NYUSO
SISTERZ...
SELFIE BINTI YAKE AFUA...
HAJAAT SHARIFFA & BINTI YAKE MASHAALAH
 REHEMA KESSY MASHAALAH PENDEZA SANA
MAMA MKUBWA & MAHARUSI
BEAUTIFUL MASHAALAH
ALHANISA & SALMA
WAZAZI....
MIRIAM JOGGY
WAZAZI WA BWANA HARUSI
ASHURA & FRIEND
MWAMVITA & FRIEND
MAMA NA MWANA MASHAALAH
MH. MARIAM MTEMVU & MRS. FATMA JANGUO
 CUTE JASMINEAFUA
LADIES SELFIE...
HIDAYA MCHOWELE & FRIEND
SALAMA KINGUI & FRIEND, WAPI LEO SHARIFFA HASHIM
MIZE....
DOTOO MAGANGA & FATMA JANGUO (PACHA)
HAJAAT JOKHA KABOTOKA & KHADIJA KUSI
HIDAYA ASPRO & FRIEND
MWANAISHA MASSANGA & MAMA MKUBWA
MARIAM MKWECHE
MH. MARIAM MTEMVU
MIRIAM JOGGY & MH. MARIAM MTEMVU 
MAHARUSI WAKIONDOKA
 NAILAH AKIMUAGA KIPENZI CHAKE, AEEE KUOLEWA UTARUDI NYUMBANI KUTEMBEA!!! 

Post a Comment

0 Comments