ABED'S BAG PARTY!!!!

Groom                                    :: Abeid
Event                                      :: Bag Party
Venue                                     :: Lamada
Color                                       :: Red, Black, Purple & Gold
Photographed by                    :: Mashughulimedia - +255655426100
YEEES WADAU NI BAG PARTY YA ABED, MTOTO WA BI SHAKILA A.K.A MAMUSHIKA PAMBE SANA MAMBO NO MOTO ZAMA NDANI KUONA PICHA ZAIDI

DECOR.......
 MC WA MJINI JAMILA KITIMTIM
ZAWADI
ZAWADI YA KAKA AHMED NA MKEWE
ZAWADI YA DADA JOHRA FLAT SCREEN
 ZAWADI ZA MAMA MZAZI BI SHAKILA A.K.A MAMUSHKA
ZAWADI YA BI BABY DOSSA

 MAMA MZAZI AKIINGIA
ODO UMETISHA...
SHOSTI WA UKWEE'E AKIINGIA NA SEBENE
 BWANA HARUSI AKIINGIA
 MAMA AKIMPOKEA MWANAE
MAMA NA MWANA
MAMA NA VIJANA WAKE MASHAALAH!!!!
 DUA
ODO HUSNA AKITAMBA
 FAMILIA IKAKBIDHI ZAWADI ZILIONYESHWA KWA PROJECTOR
 MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI BEDROOM SET, DINNING TABLE PAMOJA NA VYOMBO VYA JIKONI
 DADA JOHRA AKIKABIDHI ZAWADI YA FLAT SCREEN PAMOJA NA SAA YA UKUTANI
 NATURAL LOVE..
 SISTER & BROTHER
KAKA AHMED & MKEWE
KAKA AHMED & MKE WAKE PAMOJA NA ABEID BAADA YA KUKABIDHI ZAWADI YA SOFA SET ILIONYESHWA KWA PROJECTOR
ABEID & BIBI
PENDEZA SANA MAMSHIKA
FAMILY
 MAMA MZAZI AKIONGEA NA MWANAYE
MATUNZANO
ODO HUSNA AKIMTUNZA DADA YAKE
MAMA BABY DOSSA AKIMTUNZA MWANAYE BENDERA YA PESA, BIBI PAMBE SANA
 JOHRA AKITUNZWA
BIBI NA MJUKUU
 ALLIYAH AKIMTUNZA BEST FREIND WAKE MAMSHKA
 MAMUSHKA AKITUNZWA NA BESTIE ALLIYAH
ODO AFSA AKIMTUNZA DADA YAKE, MAMUSHKA
ODO AFSA AKIMTUNZA BINTI YAKE JOHRA
 WAZAZI WAKITUNZWA
JOHRA AKIWATUNZA MAMA ZAKE WADOGO
JOHRA AKIMTUNZA MAMA ZAZI MWAVULI WENYE PESA
MAMA NA MWANA
WAKWE TOKA ZANZIBAR WAKIMTUNZA MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI
MAMUSHKA AKISASAMBUA SANDUKU LA KIJANA WAKE
THANK YOU MAMA
BWANA HARUSI AKIMSHUKURU MAMA YAKE
BI SHAKILA AKIMTUNZA MKWE
MAMUSHKA AKIMTUNZA MAMA MZAZI
ODO AFSA AKITUNZWA
NYUSO
BI SHAKILA & MDOGO WAKE AFSA
MAMA MZAZI WA ABEID
AHMED & BIBI BABY DOSSA
ABEID & AHMED BROTHERS 
SELFIE..
BEST FRIENDS
 MY FRIEND ALLIYAH YOU LOOK PRETTY
JOHRA, HUSNA & AFSA
BROTHERS
MIE NA SHOSTI WANGU
SISTERS...
JOHRA & FRIENDS
BIBI DOSSA NA WAJUKUU MASHAALAH
WAZAZI....
JOHRA, NDIMU & FRIEND
MIE NA MAMA MZAZI SHAKILA PAMOJA NA BINTI YAKE JOHRA
MIE NA WADAU
UMENOGAJE MY FRIEND
Post a Comment

0 Comments