SHEREHE YA WANAWARI MOSSY, MARYAM & FARIDA!!!!

Wanawari                               :: Mossy, Maryam & Farida
Event                                      :: Sherehe ya Wanawari
Venue                                     :: Msasani Tower
Color                                       :: Mix Color
Photographed by                    :: Mashughulimedia - +255655426100
HAYA HAYA WADAU WASWAHILI WANASEMA "MUACHA ASILI MTUMWA" NI ILE SHUGHULI PAMBE YA SHEREHE YA WANAWARI MOSSY, BAADA YA KUCHEZWA, MAMBO PAMBE HONGERA MAMA IYA NA KAMATI NZIMA CHINI YA MWENYEKITI KHADIJA MNYIKA, LIVE BAND, SARE PAMBE TOKA INDIA UKIHITAJI SARE PAMBE MUONE MAMA IYA, MASOMO WAMETISHA ZAWADI PAMBE KWA WARI WAO

MOSSY, MARYAM & FARIDA
DECOR....///
ZAWADI
MC JAMILA KITIMTIM
WANAWARI WAKIINGIA SAMBAMBA NA MASOMO WAO
DUA...
WANAWARI WAKIFICHULIWA....
KAMATI PAMBE WATOTO WA KARIAKOO MMETISHA, SIJUI IKAJA HARUSI ITAKUWAJE
CHAKULA
ZAWADI
MAMA IYA AKITUNZWA
MAMA IYA AKITUNZWA NA FRIENDS OF JANGWAAN
WANWARI WAKIINGIA NA MASOMO BAADA YA KUBADILI NGUO
MAMA IYA AKIRUSHA ROHO
MWARI AKITUZWA BEDROOM SET
SOMO SALMA NA NYOTA WAKIMVISHA MADINI MWARI
MASOMO WAKITUNZWA
WANAWARI BAADA YA KUBADILI NGUO
KAMATI IKITOA ZAWADI YA LAPTOP 3 KWA MAHARUSI
MWENYEKITI KHADIJA MNYIKA AKIONGEA
MWENYEKITI WA KAMATI KHADIJA MNYIKA AKIKABIDHI LAPTOP KWA WANAWARI
NYUSO
MWANAASHA & SALAMA
 
KHADIJA, HIDAYA ASPRO & MWAMVITA 
REHEMA & FRIEND
HUSNA & NYOTA
HUSNA MADOHORA & SHOSTI
MAMA IYA & PAMBE YAKE YA UKWEE'E
MAMA IYA & FREINDS
SELFIE.... 
 SOMO, SALMA KESSY & MWARI
MWARI NA SOMO
SOMO NA MWARI
AMINA MENGI
 PENDEZA SANA DESIGNER FARIDA TOM
KHADIJA & SHOSTITO
MARIAM MNYIKA & SALMA KINGUI
STYLISH LADIES
MC MUU & AMINAMENGI
LOVELY
MAMA IYA NA MJUKUU
KHADIJA MNYIKA
MWANAISHA MASSANGA
MC MUU TISHA...
CUTE GIRL
AMINA MENGI STUNNING
PENDEZA SANA...
PAMBE YA MUJINI......

Post a Comment

0 Comments