AZIM & NURUHAJRA WEDDING RECEPTION!!!

Groom                                    :: Azim
Bride                                       :: Nuruhajra
Event                                      :: Wedding Reception
Venue                                     :: Atubele Hall (Morogoro)
Color                                       :: Peach & Gold
Photographed by                    :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI ILE WEDDING RECEPTION YA AZIM & NURUHAJRA, BAADA YA SENDOFF PARTY & NIKKAH HAPA DAR, WEDDING RECEPTION YA UKWEE'E MOROGORO MAMBO NI MOTO MMETISHA UPANDE WA KIUMENI SHUGHULI YA KISTAARAB NA PAMBE ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

SO SWEET...
STUNNING NURUHAJRA
LOVELY COUPLE
MASHAALAH BEAUTIFUL BRIDE
DECOR....
MC MLUGULU MWEUPE
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKIINGIA
 WAKWE WAKIINGIA
AZIM AKIINGIA UKUMBINI 
 BI HARUSI AKIINGIA
 AZIM AKIMPOKEA MKEWE NURUHAJRA
 MAMA MZAZI AKIKARIBISHA WAGENI
 AZIM AKITAMBULISHA FAMILIA
MAMA MZAZI WA AZIM, MASHAALAH ASANTE KWA KUTOPOKEA VINZURI
 AZIM AKITAMBULISHA MARAFIKI
 NURUHAJRA AKITAMBULISHA FAMILIA
 NURUHAJRA AKIMTAMBULISHA MUME WAKE
 MJOMBA AKIONGEA NA FAMILIA
SHANGAZI AKIONGEA NA FAMILIA
AZIM & NURUHAJRA WAKIKATA  CAKE
 CHAKULA
 ZAWADI NA HONGERA KWA AZIM & NURUHAJRA
MAMA MZAZI WA AZIM AKIWAPONGEZA MAHARUSI
WAKWE WAKITOA PONGEZI...
SOMO AKIMTUNZA BI HARUSI
MAMA AKITUNZWA...
WAZAZI WAKITUNZWA
MAMA AKIWATUNZA ABDUL NA MKEWE....
ABDUL KAKA WA BWANA HARUSI AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KAMATI AKITOA SHUKRAN 
NYUSO
BYE BYE NEW COUPLE AZIM & NURUHAJRA

Post a Comment

0 Comments