AISHA'S KITCHEN MADA!!!

Bride                                      :: Aisha Issa Chitanda
Event                                     :: Kitchen Mada
Venue                                    :: Mwenge Social  Hall
Makeup                                 :: 
Color                                      :: Yellow & White
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
AISHA PENDEZA SANA MASHAALAH, MAMBO PAMBE KWA SANA, HONGERA KAMATI KWA SHUGHULI NZURI

MASHAALAH!!!
SISTERZ FOREVER....
SISTERZ
MAMA NA MWANA
MAMA NA BINTI ZAKE MASHAALAH!!!
DECOR....
MC ASHA KIATU
MAMA AKIINGIA
WAKWE WAKIINGIA....
AISHA AKIINGIA
MWARI AKIFICHULIWA
PAMBE YA KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI ZUHURA
DUA
AISHA AKITAMBULISHA FAMILIA
WIFIS...
CHAMPAGNE
CAKE
MAMA MZAZI AKIONGEA NA BINTI YAKE
MAMA MKWE AKIONGEA NA AISHA
SOMO AKIMALIZIA YA MWISHO MWISHO KWA MWARI WAKE
MAMA AKITUNZA SANDUKU LA BINTI YAKE
MAMA BADO ANAENDELEA KUTUNZA
MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI YA KABATI KWA KITINDA MIMBA WAKE
BIBI AKIMTUNZA MJUKUU
SOMO AKITUNZA
WAKWE WAKIMTUNZA AISHA
ZUHURA DADA WA BIHARUSI AKIMPA ZAWADI ZA UKWEE'E MDOGO WAKE
CHIKU & ROSELINDA NA WIFI YAO AISHA
DADA WA BIHARUSI AKIMTUNZA DRESSING TABLE UMETISHA
MARAFIKI WA BIHARUSI WAKIMTUNZA AISHA
MAMA MZAZI AKITUNZWA NA WATOTO WAKE MASHAALAH
CHAKULA
 NYUSO
WIFIS ROSELINDA & CHIKU
BYE BYEPost a Comment

0 Comments