FATMA & SHABANI WEDDING ANNIVERSARY 16 YEARS!!!!

Bride                                      :: Fatma Mustapha Ntare
Groom                                   :: Shabani Mohamed Skani
Event                                     :: Wedding Annivesary
Venue                                    :: Simba Oil Hall
Makeup                                 :: V20
Color                                      :: Pink, Blue, Green & Red
Photosby                               :: Mashughulimedia - +25565542610
HONGERA SHABANI & FATMA KWA KUFIKISHA MIAKA 16 NDOANI, MASHAALAH MMEPENDEZA SAN, NI SHEREHE YA MIAKA 16 YA NDOA, KWAO MAPENZI TELE NDIO KWANZA WAMEANZA UPYA. SHUGHULI PAMBE YA UKWEE'E MAMBO NI MOTOO ZAMA NDANI KUONA MAPICHA ZAIDI YA WATOTO WA MUJINI....

MR. SHABANI
ELEGANT...
PENDEZA SANA....
BABA NA MWANA
DECOR....
MC JAMILA KITIMTIM AKICHEZ NA MIKE...
FATMA & SHABAN WAKIINGIA NA KIJANA WAO
NI FURAHA TELE...
KONGAMOYO LIVE BAND
DUA...
KAMATI..
MWENYEKITI WA KAMATI MARIAM TWAHIR..
FATMA AKIFICHULIWA
FATMA NA SOMO YAKE TATU LUMELEZI
SISTERZ...
FATMA NA MUME  WAKE SHABANI WAKIKATA CAKE
WAKIMLISHA KIJANA WAO
CHAMPAGNE
 FATMA AKIINGIA NA NGUO YA PILI PAMBE 
MUME AKIMPOKEA MKEWE
 FATMA AKITUNZWA... MCHEZO PESA...
UMETISHA MARIAM TWAHIR...
 NI MAMBO YA KOFIA YA PESA...
MARIAM TWAHIR MAMA MDOGO AKITUNZA
MAMA IYA AKITUNZA.....
MWANAASHA AKITUNZA
  ROSE MBAGA ALL THE WAY FROM TANGA AKIMTUNZA SHOSTI
JOKHA KABOTOKA AKIFANYA YAKE
MARIAM BEST DADA YAKE FATMA AKIMTUNZA MDOGO WAKE...
NI MWENDO WA WEKUNDU TUUUU
ANKAL YAHYA AKIFANYA YAKE UMEPENDEZA SANA ANKAL...
NUTHAIRA KITENGE AKIMTUNZA FATMA
 FATMA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA KABATI FULL VYOMBO NDANI MAMBO NI FIREEE
 FATMA AKIWASHUKURU...
NYUSO
MARIAM MNYIKA & FRIEND 
NUTHAIRA & BESTIE...
SELFIE
LEO PAMBE SANA....
MC JAMILA NA WATU WAKE WA MUJINI
 REHEMA..
PAMBE YA WATU MJINI...
AWADH....
MAMA IYA & FRIENDS
MY JAMILA...

Post a Comment

0 Comments